Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
kwani kwa sasa mauaji yanayofanyika yamesababishwa na CDM, kumbuka mauaji kule Nyamongo, Geita, Mwangosi, Albino, Ally
Pasco unajifanya mwerevu lakini ur an empty basket.et nchi ya kidemokrasia kwa mujibu ya katiba ya77 kwa uwezo wako mdogo.toka lini taifa linalo ongozwa na chama kimoja ikawa taifa la ki demokrasia? Nipe mfano hata1?katiba ya77 ni ya kidikteta nandio inalea urais wa kufalme huu.cdm inaujua kuwawajibisha watukutu tofauti ya ccm ya kulindana
Mkuu Freeland, kwanza asante kuchangia uzi wangu huu, nakiri kuufahamu umuhimu wa kufuata sheria taratibu na kanuni, na hizi zinatungwa ili kuhakikisha haki inatendeka!. Lakini kwa Chadema kwenye katiba yao wameainisha taratibu za nidhamu ili kutoa haki, kwenye uendeshaji kesi na kufikia maamuzi, taratibu hizi zimewekwa kando na kutolewa maamuzi ya kiimla na vikao visivyo na mamlaka!, yaani katika kufikia uamu za haki, katiba imewekwa pembeni, watu wanyongwe tuu!, ila inapolalia kwao kwamba hili ni kosa la kustahili kunyonga, ndipo sasa Chadema inakuja mbio mbia na katiba yao kuwa sasa ile adhabu ya kunyonga itekelezwe kwa mujibu wa katiba!. What a double standard?!.
Kama hiyo katiba ipo, kwa nini haikufuatwa wakati wa kumhukumu Zitto, lakini leo ameshindwa kesi, vimbelembele hao mbio kwenye katiba!.
Nasisitiza kufuatwa kwa taratibu, sheria na kanuni za haki!.
Pasco
Mkuu Freeland, haya ya kuitana waongo siyo!. Naomba twende kidogo kidogo ili kuepuka mamba kama haya ya kuanza kuitana waongo. Kwa kuanzia nenda kafanye h/w kidogo tuu kwenye katiba ya Chadema.Pasco acha uongo acha uongo kabisaaaa
Acha uongo kuhalalisha hoja yako.....tena mtu kama wewe hustahili haswa kusema uongo
Zito alipofukuzwa na kamati kuu...alipaswa kukata rufaa kwenye ngazi za chama....hakuwahi kufanya hivyo
Alichokifanya zito n kukata rufaa mahakamani...Contrary to katiba
Wewe ni mwanasheria ...ulitaka CHADEMA wafanyeje?
Kwa sababu tu ni zito basi aachwe tuuuuu...afanye anachotaka...
My friend thats totally un acceptable...May be huko CCM
Mkuu Freeland, haya ya kuitana waongo siyo!. Naomba twende kidogo kidogo ili kuepuka mamba kama haya ya kuanza kuitana waongo. Kwa kuanzia nenda kafanye h/w kidogo tuu kwenye katiba ya Chadema.
Jee CC ya Chadema ina mamlaka ya kumvua Zitto uanachama?.
Pasco
Pasco acha uongo acha uongo kabisaaaa
Acha uongo kuhalalisha hoja yako.....tena mtu kama wewe hustahili haswa kusema uongo
Zito alipofukuzwa na kamati kuu...alipaswa kukata rufaa kwenye ngazi za chama....hakuwahi kufanya hivyo
Alichokifanya zito n kukata rufaa mahakamani...Contrary to katiba
Wewe ni mwanasheria ...ulitaka CHADEMA wafanyeje?
Kwa sababu tu ni zito basi aachwe tuuuuu...afanye anachotaka...
My friend thats totally un acceptable...May be huko CCM
Mkuu Freeland, twende mdogo mdogo, mambo yalikwenda hatua kwa hatua, na sisi hapa twende hatua kwa hatua kwa lengo la kuelimishana tuu.Mkuu Pasco unataka kudanganya umma kwa makusudi kabisa
Wakati kina kitila na Mwigamba wamefukuzwa ,Zito hakuwa amepewa barua yake ya kufukuzwa.Kwa maana rahisi hakukuwa na notification ya zito kufukuzwa CHADEMA.
Lakini kwa yeye kuhofia kwamba atafukuzwa kama kina mwigamba na Kitila akakimbilia mahakamani kuzuia CHADEMA isimjadili hadi baraza kuu liitishwe.
Kesi ya kwanza alishinda,CHADEMA ikakata rufaa na ikashinda na kesi yake kutupiliwa mbali.Hivyo ikawa huru kwa CHADEMA kumjadili.
Alichokisema Lissu ni zito amejifukuzisha CHADEMA kwa kukiuka katiba.....akakipeleka chama mahakamani....Maamuzi rasmi na kumpa barua ya kuondolewa kwenye chama atayapewa mwezi wa Tano baada ya vikao vya chama.
Sasa ndugu yangu hapa zito unamtetea nini ameshindwa kutumia vyombo vya ndani vya chama wakati alikuwa na wasaa huo.Pasco credibility yako ni kubwa humu JF...Jitahidi kutokupotosha kwa sababu unampenda mtu fulani.Please
Mkuu Freeland, twende mdogo mdogo, mambo yalikwenda hatua kwa hatua, na sisi hapa twende hatua kwa hatua kwa lengo la kuelimishana tuu.
Pasco
- Hatua ya kwanza ni CC ya Chadema iliwavua Zitto, Mwigamba na Kitila nyadhifa zao zote!, kabla ya kuwapelekea mashitaka yoyote!. Jee huo ndio utaratibu?!. Zitto wakati huo alikuwa ni NKM wa Chadema. Sasa tuanzie hapa CC ya Chadema ina uwezo wa kumvua madaraka NKM?!, ukikuta ilikuwa haina, uje ueleze uwezo huo wa CC kumvua Zitto madaraka iliupata wapi na kama uamuzi huo ni halali, ili pia tuweze kujadili kidogo tuu nanma ya kuigeuza haramu kuwa halali!. Rejea katiba ya Chadema, kisha uje hapa tuendelee, taratibu, kidogo kidogo hadi somo litaeleweka!.
Mkuu Freeland, posting za jf sio umma, bali ni wanamtandao tuu, umma ni mkubwa kuliko mtandao wa jf, ila pia mimi Pasco wa jf, ninaye partner wangu anaitwa Pascal Mayalla, hivyo nikiwa na lengo la kupeleka habari kwa umma, nitamtumia yeye, kwa sasa bado tuko tuu humu jf, ukionekana umuhimu wa kuwaeleza rasmi Watanzania Chadema sio chama cha kuaminika hakipaswi kukabidhiwa nchi, tutafanya hivyo!, ila wakati huo bado haujafika ndio maana bado tunaulizana tuu humu humu jf!.Mkuu Pasco unataka kudanganya umma kwa makusudi kabisa.
Pasco credibility yako ni kubwa humu JF...Jitahidi kutokupotosha kwa sababu unampenda mtu fulani.Please
Mkuu Freeland, posting za jf sio umma, bali ni wanamtandao tuu, umma ni mkubwa kuliko mtandao wa jf, ila pia mimi Pasco wa jf, ninaye partner wangu anaitwa Pascal Mayalla, hivyo nikiwa na lengo la kupeleka habari kwa umma, nitamtumia yeye, kwa sasa bado tuko tuu humu jf, ukionekana umuhimu wa kuwaeleza rasmi Watanzania Chadema sio chama cha kuaminika hakipaswi kukabidhiwa nchi, tutafanya hivyo!, ila wakati huo bado haujafika ndio maana bado tunaulizana tuu humu humu jf!.
Kwenye hili la Zitto nimeuliza sana sasa itakuwa ni mara ya 100!.
Tukianzia hapa tutakwenda pamoja!.
- Chadema inazo sheria, taratibu na kanuni za nidhamu, kwa nini hazitumiki?!.
- Wakati wa kumfukuza Kafulila hazikutumika, nilisema humu.
- Wakati wa kuwafukuza wale madiwani wa Arusha, nilisema humu, Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
- Wakati wa kuwafukunza kina Shonza yule 'partner wangu' alisema humu , Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea
- Na wakati wa Zitto pia nimesema sana!.
- CC ya Chadema ilikuwa haina mamlaka na uwezo wa kumvua Zitto nyadhifa zake, ile siku walipomvua, uwezo huo waliupata wapi?!.
Pasco
Sasa hapa ndio naanza na wewe na vilaza wengine wa Chadema, rejea kwenye katiba ya Chadema unionyesho uwezo huo, na mimi nikuletee katiba ya Chadema nikuonyeshe CC ya Chadema, haina uwezo huo, uamuzi ule ulikuwa ni batili na udikiteta tuu!.Kamati kuu ina mamlaka ya kumsimamisha kiongozi yeyote na rufaa zinazotokana na maamuzi yake zinakatwa kwa baraza kuu ambapo 2/3 ya wajumbe wa baraza kuu ndio wanaoweza kupitisha maamuzi hayo.
Ishu hapa...zito ameondolewa na kamati kuu...akaona si haki....Alitakiwa afanye nini kadri ya katiba ya chama?
DUH...Acheni propaganda za kuwatishia watu. Nani alikuambia nchi inaongozwa kwa katiba za vyama vya siasa? Tunayo katiba ya nchi na ndiyo maana hatutaki kufnya makosa ya kuburuzwa na katiba ya chenge. Tunahitaji katiba safi itakayoutongoza kwenye utanzania wetu na si katiba za vyama.
Sasa mnataka CHADEMA kiwage kinachekelea chekelea hata pale mtu anapokuwa ameharibu? Hafukuzwi utanzania, bali anafukuzwa kwenye chama ili ajipange upya na akijiweka sawa awe mwanachama bora. Mtanzania akikosea atahukumiwa kwa mujibu wa katiba ya nchi na si katiba ya chama.
AU KWA VILE KIKWETE ANAONGOZA NCHI KWA KUTMIA KATIBA YA CCM, BASI MNAHOFU KWAMBA TANZANNIA ITAMILIKIWA NA CHADEMA SASA? TZ NI YA WATANZANIA TU NA SISI WATANZANIA TUNA UHURU WA KUAHMA VYAMA VYA SIASA NAMNA TUNAYOPENDA, LAKINI TUNABAKI KUJIVUNIA UTANZANIA WETU!.
ILA AWAMU YA TANO UKAWAAAAAAAAAAAAAAAAA!. CCM MMETUUMIZA VYA KUTOSHA TENA HATUPENDI KUWASIKIA WALA KUWAONA ONA MNAJUA!!!!!!!!!!!!!!!! Ohhhhhhhhhhhhhhhooooooooooo, shauri yenu, endeleeni kujishaua shaua mtandani wakati kuna watu wana vipaji tofauti!.
uraia wako tafadhali.. maana isije ikawa tunaongea na banyamulenge humumkuu suara la huyu jamaa anaefuatwa na makada wa ccm ni uzushi! hata ariepo madarkani irikuwa hivi hivo.wananchi tubadirike wanatumwa kwa masirahi yao.uchaguzi ukiisha wote wanapewa nafasi ya kutuongoza.Tutafakari ndugu zangu.Nchi hii itwakwenda bila ccm wala tusidanganyike kuwa ccm ndio wanatoka viongozi bora.uongo tuvunje munyororo turiofungwa kwa kuaminishwa na watu wasiopungua laki tatu.hakuna!!!!!!!