Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Pasco weka pembeni mahaba ya kisiasa, hili bandiko lako lipo kinafiki. Zitto ni maarufu hivyo anaweza kwenda kuanzisha chama chake binafsi na akaweka huko demokrasia inayovuka mipaka na akaendelea huko. Hivyo huu si wakati wa wewe manazi wa Zitto kulalama juu ya chadema bali anzisheni chama cha demokrasia ya kuvuka mipaka mpige kazi.
 
Ni thahiri kabisa kwamba huu Uzi umeanzishwa sababu kubwa ni zito kujikufuzisha chadema!! Iekeweke wazi kwamba hamna mtu aliyemfukuza zito chadema Bali ni katiba ambayo yeye mwenyewe aliapa kuisimamia, wengi wanamlaumu tundu Lisa bila kujua yeye ni mwanasheria tu Wa chadema Kwa maana hiyo chochote kile kinachohusu sheria ndani ya chadema yeye ndie mzungumzaji mkuu!!!

NI thahiri kabisa kwamba CHADEMA ndo chama pekee chapaswa kupewa dola Kwa 2015 Kwa sababu imedhihirisha uwezo wake Wa kusimamia katiba yao bila kumwangalia mtu usoni hivyo hivyo imedhibitisha kuwezo wa kusimamia na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kitu ambacho CCM imeshindwa Kwa miaka hamsini kusimamia katiba ya nchi Na kubaki kulea na kuzalisha mafisadi. Kwa Chadema zito ni fisadi
 
Tuache unafiki udicteta ni aina ya uongozi. Hitler asingekuwa dictator ujeruman isingefika hapo. So tanzania tunahitaji uongoz ulio serious. Watu wanaiba pesa hakuna hatua. Tuache ushabiki kipofu.
 
Pasco kwa nchi ilipofikia utawala wa kikauzu unahitajika kwa yeyote anaehujumu uchumi na kuvunja sheria,kama ambavyo polic huwa wanafanya kuwatawanya waandamanaji,mbona mnasahau sehemu zenye utawala wa kikauzu kama china,korea,nk wanaendelea kwa udikteta?usiseme huma chama maandiko yako yanaonyesha upo upande gani.usiuogope utawala wa kidkteta kisa liz 1 ataenda jela utatusaidia ukiwepo,
 
Pasco unajifanya mwerevu lakini ur an empty basket.et nchi ya kidemokrasia kwa mujibu ya katiba ya77 kwa uwezo wako mdogo.toka lini taifa linalo ongozwa na chama kimoja ikawa taifa la ki demokrasia? Nipe mfano hata1?katiba ya77 ni ya kidikteta nandio inalea urais wa kufalme huu.cdm inaujua kuwawajibisha watukutu tofauti ya ccm ya kulindana

"Simple minds discuss People, Moderate minds discuss events, Strong mind discuss Ideas"
 
Mkuu Freeland, kwanza asante kuchangia uzi wangu huu, nakiri kuufahamu umuhimu wa kufuata sheria taratibu na kanuni, na hizi zinatungwa ili kuhakikisha haki inatendeka!. Lakini kwa Chadema kwenye katiba yao wameainisha taratibu za nidhamu ili kutoa haki, kwenye uendeshaji kesi na kufikia maamuzi, taratibu hizi zimewekwa kando na kutolewa maamuzi ya kiimla na vikao visivyo na mamlaka!, yaani katika kufikia uamu za haki, katiba imewekwa pembeni, watu wanyongwe tuu!, ila inapolalia kwao kwamba hili ni kosa la kustahili kunyonga, ndipo sasa Chadema inakuja mbio mbia na katiba yao kuwa sasa ile adhabu ya kunyonga itekelezwe kwa mujibu wa katiba!. What a double standard?!.

Kama hiyo katiba ipo, kwa nini haikufuatwa wakati wa kumhukumu Zitto, lakini leo ameshindwa kesi, vimbelembele hao mbio kwenye katiba!.

Nasisitiza kufuatwa kwa taratibu, sheria na kanuni za haki!.

Pasco

Pasco acha uongo acha uongo kabisaaaa

Acha uongo kuhalalisha hoja yako.....tena mtu kama wewe hustahili haswa kusema uongo

Zito alipofukuzwa na kamati kuu...alipaswa kukata rufaa kwenye ngazi za chama....hakuwahi kufanya hivyo

Alichokifanya zito n kukata rufaa mahakamani...Contrary to katiba

Wewe ni mwanasheria ...ulitaka CHADEMA wafanyeje?

Kwa sababu tu ni zito basi aachwe tuuuuu...afanye anachotaka...

My friend thats totally un acceptable...May be huko CCM
 
Mkuu Freeland, haya ya kuitana waongo siyo!. Naomba twende kidogo kidogo ili kuepuka mamba kama haya ya kuanza kuitana waongo. Kwa kuanzia nenda kafanye h/w kidogo tuu kwenye katiba ya Chadema.
Jee CC ya Chadema ina mamlaka ya kumvua Zitto uanachama?.

Mkuu Pasco unataka kudanganya umma kwa makusudi kabisa

Wakati kina kitila na Mwigamba wamefukuzwa ,Zito hakuwa amepewa barua yake ya kufukuzwa.Kwa maana rahisi hakukuwa na notification ya zito kufukuzwa CHADEMA.

Lakini kwa yeye kuhofia kwamba atafukuzwa kama kina mwigamba na Kitila akakimbilia mahakamani kuzuia CHADEMA isimjadili hadi baraza kuu liitishwe.

Kesi ya kwanza alishinda,CHADEMA ikakata rufaa na ikashinda na kesi yake kutupiliwa mbali.Hivyo ikawa huru kwa CHADEMA kumjadili.

Alichokisema Lissu ni zito amejifukuzisha CHADEMA kwa kukiuka katiba.....akakipeleka chama mahakamani....Maamuzi rasmi na kumpa barua ya kuondolewa kwenye chama atayapewa mwezi wa Tano baada ya vikao vya chama.

Sasa ndugu yangu hapa zito unamtetea nini ameshindwa kutumia vyombo vya ndani vya chama wakati alikuwa na wasaa huo.Pasco credibility yako ni kubwa humu JF...Jitahidi kutokupotosha kwa sababu unampenda mtu fulani.Please
 
Pasco acha uongo acha uongo kabisaaaa

Acha uongo kuhalalisha hoja yako.....tena mtu kama wewe hustahili haswa kusema uongo

Zito alipofukuzwa na kamati kuu...alipaswa kukata rufaa kwenye ngazi za chama....hakuwahi kufanya hivyo

Alichokifanya zito n kukata rufaa mahakamani...Contrary to katiba

Wewe ni mwanasheria ...ulitaka CHADEMA wafanyeje?

Kwa sababu tu ni zito basi aachwe tuuuuu...afanye anachotaka...

My friend thats totally un acceptable...May be huko CCM

Akate rufaa kwa walio ?
 
Mkuu Pasco unataka kudanganya umma kwa makusudi kabisa

Wakati kina kitila na Mwigamba wamefukuzwa ,Zito hakuwa amepewa barua yake ya kufukuzwa.Kwa maana rahisi hakukuwa na notification ya zito kufukuzwa CHADEMA.

Lakini kwa yeye kuhofia kwamba atafukuzwa kama kina mwigamba na Kitila akakimbilia mahakamani kuzuia CHADEMA isimjadili hadi baraza kuu liitishwe.

Kesi ya kwanza alishinda,CHADEMA ikakata rufaa na ikashinda na kesi yake kutupiliwa mbali.Hivyo ikawa huru kwa CHADEMA kumjadili.

Alichokisema Lissu ni zito amejifukuzisha CHADEMA kwa kukiuka katiba.....akakipeleka chama mahakamani....Maamuzi rasmi na kumpa barua ya kuondolewa kwenye chama atayapewa mwezi wa Tano baada ya vikao vya chama.

Sasa ndugu yangu hapa zito unamtetea nini ameshindwa kutumia vyombo vya ndani vya chama wakati alikuwa na wasaa huo.Pasco credibility yako ni kubwa humu JF...Jitahidi kutokupotosha kwa sababu unampenda mtu fulani.Please
Mkuu Freeland, twende mdogo mdogo, mambo yalikwenda hatua kwa hatua, na sisi hapa twende hatua kwa hatua kwa lengo la kuelimishana tuu.

  1. Hatua ya kwanza ni CC ya Chadema iliwavua Zitto, Mwigamba na Kitila nyadhifa zao zote!, kabla ya kuwapelekea mashitaka yoyote!. Jee huo ndio utaratibu?!. Zitto wakati huo alikuwa ni NKM wa Chadema. Sasa tuanzie hapa CC ya Chadema ina uwezo wa kumvua madaraka NKM?!, ukikuta ilikuwa haina, uje ueleze uwezo huo wa CC kumvua Zitto madaraka iliupata wapi na kama uamuzi huo ni halali, ili pia tuweze kujadili kidogo tuu nanma ya kuigeuza haramu kuwa halali!. Rejea katiba ya Chadema, kisha uje hapa tuendelee, taratibu, kidogo kidogo hadi somo litaeleweka!.

Kamati kuu ina mamlaka ya kumsimamisha kiongozi yeyote na rufaa zinazotokana na maamuzi yake zinakatwa kwa baraza kuu ambapo 2/3 ya wajumbe wa baraza kuu ndio wanaoweza kupitisha maamuzi hayo.

Ishu hapa...zito ameondolewa na kamati kuu...akaona si haki....Alitakiwa afanye nini kadri ya katiba ya chama?
 
Mkuu Pasco unataka kudanganya umma kwa makusudi kabisa.
Pasco credibility yako ni kubwa humu JF...Jitahidi kutokupotosha kwa sababu unampenda mtu fulani.Please
Mkuu Freeland, posting za jf sio umma, bali ni wanamtandao tuu, umma ni mkubwa kuliko mtandao wa jf, ila pia mimi Pasco wa jf, ninaye partner wangu anaitwa Pascal Mayalla, hivyo nikiwa na lengo la kupeleka habari kwa umma, nitamtumia yeye, kwa sasa bado tuko tuu humu jf, ukionekana umuhimu wa kuwaeleza rasmi Watanzania Chadema sio chama cha kuaminika hakipaswi kukabidhiwa nchi, tutafanya hivyo!, ila wakati huo bado haujafika ndio maana bado tunaulizana tuu humu humu jf!.

Kwenye hili la Zitto nimeuliza sana sasa itakuwa ni mara ya 100!.
  1. Chadema inazo sheria, taratibu na kanuni za nidhamu, kwa nini hazitumiki?!.
  2. Wakati wa kumfukuza Kafulila hazikutumika, nilisema humu.
  3. Wakati wa kuwafukuza wale madiwani wa Arusha, nilisema humu, Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
  4. Wakati wa kuwafukunza kina Shonza yule 'partner wangu' alisema humu , Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea
  5. Na wakati wa Zitto pia nimesema sana!.
  6. CC ya Chadema ilikuwa haina mamlaka na uwezo wa kumvua Zitto nyadhifa zake, ile siku walipomvua, uwezo huo waliupata wapi?!.
Tukianzia hapa tutakwenda pamoja!.

Tuchukulie CC haikuwa na mamlaka na ilifanya kosa...Muhusika alipaswa kukata rufaa wapi?
 
Kamati kuu ina mamlaka ya kumsimamisha kiongozi yeyote na rufaa zinazotokana na maamuzi yake zinakatwa kwa baraza kuu ambapo 2/3 ya wajumbe wa baraza kuu ndio wanaoweza kupitisha maamuzi hayo.

Ishu hapa...zito ameondolewa na kamati kuu...akaona si haki....Alitakiwa afanye nini kadri ya katiba ya chama?
Sasa hapa ndio naanza na wewe na vilaza wengine wa Chadema, rejea kwenye katiba ya Chadema unionyesho uwezo huo, na mimi nikuletee katiba ya Chadema nikuonyeshe CC ya Chadema, haina uwezo huo, uamuzi ule ulikuwa ni batili na udikiteta tuu!.

Sasa baada ya kwenda kwa maneno, twende kwa vifungu, anza wewe kuniletea vifungu vya uwezo huo wa CC ya Chadema na mimi nitamaliza kwa kukuletea vifungu ambavyo vitaonyesha CC ya Chadema haina uwezo ule!.

Wengi wa wapenzi wa Chadema humu jukaani ni empty kabisa yaani ni zero!, ili kukuepusha kukuingiza na wewe kwenye hili kundi la madebe matupu ambao kazi yao humu ni kupiga tuu kelele, sasa njoo na vifungu na sio na maneno!.

Next time ukija kutetea ujinga humu, I advise you, please be sure you know what you are talking about!.

Pasco
 
Tatizo lenu Watanzania wengi ni kwamba MNAOGOPA mabadiliko.

Ukweli ni kwamba

  1. Mmezoea kutoa rushwa kwa kila kitu, hata pale mnapokuwa na haki.
  2. Mmeutosa uzalendo, kila kitu sasa ni DILI
  3. Mnawathamini watu wenge pesa bila kujua wanazitoa wapi. Hata kama wamewauza dada zenu kwenye uchangudoa, au wamewageuza kaka na dada zenu kuwa punda wa kubeba "unga" (siku hizi "sembe") nyie mnaona sawa tu
  4. Vijana mitaani, haswa uswahilini, wanakamatwa ovyo na askari na kuwekwa lupango. Kosa lao? Umaskini. Wanakamatwa bila kosa, wamegeuzwa mradi wa maafande. Kuingia bure, kutoka kwa 30,000 au zaidi.

Sasa bora ije serikali ya KIDIKTETA iweke mambo sawa. Mnatakiwa kunyooshwa maana mmesahau nini maana ya maneno UHURU na DEMOKRASIA.

Ole wenu fisadi dagaa!
 
mkuu suara la huyu jamaa anaefuatwa na makada wa ccm ni uzushi! hata ariepo madarkani irikuwa hivi hivo.wananchi tubadirike wanatumwa kwa masirahi yao.uchaguzi ukiisha wote wanapewa nafasi ya kutuongoza.Tutafakari ndugu zangu.Nchi hii itwakwenda bila ccm wala tusidanganyike kuwa ccm ndio wanatoka viongozi bora.uongo tuvunje munyororo turiofungwa kwa kuaminishwa na watu wasiopungua laki tatu.hakuna!!!!!!!
 
Acheni propaganda za kuwatishia watu. Nani alikuambia nchi inaongozwa kwa katiba za vyama vya siasa? Tunayo katiba ya nchi na ndiyo maana hatutaki kufnya makosa ya kuburuzwa na katiba ya chenge. Tunahitaji katiba safi itakayoutongoza kwenye utanzania wetu na si katiba za vyama.

Sasa mnataka CHADEMA kiwage kinachekelea chekelea hata pale mtu anapokuwa ameharibu? Hafukuzwi utanzania, bali anafukuzwa kwenye chama ili ajipange upya na akijiweka sawa awe mwanachama bora. Mtanzania akikosea atahukumiwa kwa mujibu wa katiba ya nchi na si katiba ya chama.

AU KWA VILE KIKWETE ANAONGOZA NCHI KWA KUTMIA KATIBA YA CCM, BASI MNAHOFU KWAMBA TANZANNIA ITAMILIKIWA NA CHADEMA SASA? TZ NI YA WATANZANIA TU NA SISI WATANZANIA TUNA UHURU WA KUAHMA VYAMA VYA SIASA NAMNA TUNAYOPENDA, LAKINI TUNABAKI KUJIVUNIA UTANZANIA WETU!.

ILA AWAMU YA TANO UKAWAAAAAAAAAAAAAAAAA!. CCM MMETUUMIZA VYA KUTOSHA TENA HATUPENDI KUWASIKIA WALA KUWAONA ONA MNAJUA!!!!!!!!!!!!!!!! Ohhhhhhhhhhhhhhhooooooooooo, shauri yenu, endeleeni kujishaua shaua mtandani wakati kuna watu wana vipaji tofauti!.
DUH...
HIZI NDIO AKILI ZA BAVICHA. YANI UMESHINDWA KABISA KUMUELEWA PASCO.poleni sana bangiboys na ndio maana inakuwa ngumu kusafiria mashua moja na watu wenye akili kama akina ZZK. ENDELEENI KUONGOZWA NA AKINA MBOWE,SUGU,MNYIKA,MSIGWA,LEMA,WENJE N.K . THOSE PEOPLE FITS YOUR CELEBRAL LEVEL AND BEHAVIOUR
 
mkuu suara la huyu jamaa anaefuatwa na makada wa ccm ni uzushi! hata ariepo madarkani irikuwa hivi hivo.wananchi tubadirike wanatumwa kwa masirahi yao.uchaguzi ukiisha wote wanapewa nafasi ya kutuongoza.Tutafakari ndugu zangu.Nchi hii itwakwenda bila ccm wala tusidanganyike kuwa ccm ndio wanatoka viongozi bora.uongo tuvunje munyororo turiofungwa kwa kuaminishwa na watu wasiopungua laki tatu.hakuna!!!!!!!
uraia wako tafadhali.. maana isije ikawa tunaongea na banyamulenge humu
 
Zitto kweli pasua kichwa! CDM iligundua kuwa hafai na madudu aliyofanya yakawekwa hadharani. Kama ingekuwa uongo si kina Wassira na Kimei wangeenda kushitaki CDM kwa kuwadhalilisha? Waliogawiwa hela na Zitto mbona hawajakanusha?Mnaomtetea Zitto hamumjui hata ya mlinzi wa Dr Slaa hamtayaamini. Ulimbukeni utatumaliza.

CDM ikichukua nchi mke mkao wa mchakamchaka kwa sababu ni lazima tukimbie sana kama tunataka mabadiliko na kwa wale ambao hawako tayari ndio hao watabaki kulalamikia udikteta.
 
Back
Top Bottom