chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Wakuu....
Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama.
Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa siku wale waliomzunguka wanatajirika kwa mgongo wa Lisu.
No way inatosha SASA! Lisu hatutaki aendelee tena kuwa Victim na mtaji wa watu wengine wajanja janja pale CHADEMA, either awe Mwenyekiti asimamie mambo na kusafisha Chama au ajitenge nao kabisa Kwa maana ni ngumu mtu kama Lisu kuendelea kuchangamana na wala rushwa au watu wenye hofu ya kukemea maovu