CHADEMA imetajirisha wengi huku Lisu akizidi kuwa maskini akipigania misingi ya chama

CHADEMA imetajirisha wengi huku Lisu akizidi kuwa maskini akipigania misingi ya chama

Mwenzi anayo degree na alisoma chuko full time tofauti ni kilaza wenu Mbowe ambae baada ya kufeli elimu ya sekondari alikimbia kuwa disco joker🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

..Mama Abduli alipata zero form 4.

..Baba Dudley alipata zero form 6.

..yupi kilaza kumpita mwenzie?
 
Pesa huwa hazijifichi, hata kampeni zake uliona ni low budget kulinganisha na Nyalandu au Mbowe unaweza ona gap in funding. Lissu hana hela za kutisha maana sio fisadi.

mnadanganywa sana, na nani humlipia safari za ulaya kila siku? what about his family nani anaisapoti huko usa? narudia tundu lisu is richer mbowe sema kawadanganya sana kwanza tundu lisu ni team rostamu, makambas, zito & co. anawezaje kuwa masikini? mtu ambaye hata nchini haishi ana makazi kila mahali nje ya nchi unamuita masikini???
 
mbona unaleta story za abunuasi tena gentleman?

kwahiyo kuna mtu wa kubabaika na puppet kweli humu nchini? huenda huyo mtu ni mercenary 🐒
Mkwere The Traveler.
Mkwere Trans hiyo.
Mkwere Airways Muda wote yupo angani hajui nchini Hali ipoje yeh kuwaza dili tuuh.
CCM mchezo.😂
 
Mkwere The Traveler.
Mkwere Trans hiyo.
Mkwere Airways Muda wote yupo angani hajui nchini Hali ipoje yeh kuwaza dili tuuh.
CCM mchezo.😂
mawenge yanasumbua watu wengi sana aise dah, pole sana.

kumbe umo na maumivu na umetulia tu humu?🐒
 
Nakula upepo wa Juu mzee.
Wenge mwachie Chiembe na Mwashambwa.😂😂🤣
kama kawaida sio gentleman,

shisha mchanganyo na ugoro ni moto sanaee, unainjoy mwenyewe dah!

huku unakomenti kama mtu vile aise ,

ama kweli maisha ni kombolela 🐒
 
Kuna watu wakikuambia sina hata senti kwenye account basi hao ndio wenye hela ila wanajificha kwenye sura ya kimasikini
Watu wa hivi huwa wanapenda sana sympathy pia yaani kila wakati wanataka huruma tu ila ni wabaya kuliko nyoka
Nchi masikini hakuna uzalendo bali kupambana tumbo lisiungurume tu
 
What if...Mbowe agombee na atumie Influence yake kama Mwenyekiti wa miaka 20 na kuwalambisha asali iliyotoka kwa Abduli Wajumbe na hatimae ashinde Uenyekiti wa CHADEMA.

Utamshauri Lissu nini?!
 
kama kawaida sio gentleman,

shisha mchanganyo na ugoro ni moto sanaee, unainjoy mwenyewe dah!

huku unakomenti kama mtu vile aise ,

ama kweli maisha ni kombolela 🐒
Mbona unatoa ushuhuda wa vitu unavyofanya Kamanda.

Maisha mbele kijana, wewe subiri za Mama Abduli pesa chafu zneye damu na vilio vya raia wanyonge.
 
Jibu ni Jepesi sana, Uhsndi wa Mbowe ni furaha kwa watawala, Hana Jipya!
 
Lissu yupo sahihi, wala hana makosa, hasa kwenye chama chenye utaratibu wa kufanya utaratibu wa uchaguzi wa Mwenyekiti. Ni haki yake na siyo mbaya.

And after all It is the right time kwa Mbowe kuachia madaraka kulinda heshima. Ameshakaa madarakani miaka 21. Inatosha, na amefanya mambo mema. Ni muda sahihi sasa wa yeye kuachia ngazi na wala siyo kwa ubaya.
 
Back
Top Bottom