Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kijakazi= house girl
kwa nini kwa kiingereza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijakazi= house girl
Story za kwenye kimpumu unatuletea wajuzi.wewe ndiyo mtoto umenyeshwa kool-aid na tundu lisu, tundu lisu dunia nzima tulikoshindwa kesi ana share yake, ndege zikishikwa huko nje kwa madeni analipwa dollars juu kwa juu, mining companies zikitushitaki na kushinda kesi ana share zake au unafikiri kwa nini kila nchi yetu ikishitakiwa anaondoka nchini? watoto wake na familia yake yote iko usa na ni citizens alisema mwenyewe tundu, masikini gani wa tanzagiza anayeweza afford hiyo life style ya tundu lisu ? mnadanganywa sana, labda siku moja mtakuja kuamka, tundu lisu is a con man …
Story za kwenye kimpumu unatuletea wajuzi.
Unfounded claims ni umbeya kama umbeya mwinginewewe ndiyo mtoto umenyeshwa kool-aid na tundu lisu, tundu lisu dunia nzima tulikoshindwa kesi ana share yake, ndege zikishikwa huko nje kwa madeni analipwa dollars juu kwa juu, mining companies zikitushitaki na kushinda kesi ana share zake au unafikiri kwa nini kila nchi yetu ikishitakiwa anaondoka nchini? watoto wake na familia yake yote iko usa na ni citizens alisema mwenyewe tundu, masikini gani wa tanzagiza anayeweza afford hiyo life style ya tundu lisu ? mnadanganywa sana, labda siku moja mtakuja kuamka, tundu lisu is a con man …
Hahahaha mkuu hilo nalo nenoNi hekima mbowe apumzike, pia apumzishe akili, kwani simu za machawa anazopigiwa kila jioni sio habari za kitoto, wengine hawajala, wengine mtoto anaumwa, lots of sms, wengine wanaomba mikopo kwenye hela ya chama, hakika mbowe pumzika, japo chawa wengi watakufa njaa uliwabeba mno, ni lazima walie kilio cha mbwa kobo!
sio pesa zote ni za kuchukua. kwa mfano zinazopatikana kwa ushoga.Sikia Mnama kina Mrema sio mafala huwa hawaachi pesa bwashee.
Ona ujinga unaoongea!! Angechangisha kutengenezewa gari?hahah eti tundu lisu masikini, really? tundu lisu amewapa kool-aid for sure siyo bure, tundu is the most corrupt con man ever lived, tundu lisu is richer than mbowe, yuko ligi ya akina kikwete huko …
Ushoga unatoka wapi tena mkuu, tunapenda sana kuukuza bila sababu.sio pesa zote ni za kuchukua. kwa mfano zinazopatikana kwa ushoga.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Wezi wa fedha za Umma lazima mjitokeze kumbeza.Ombaomba wa kimataifa huyo hana shida sana japo anayoombaga kuchangiwa hayamtoshelezi,
yuko rafu mno kwenye matumizi na anatamaa sana 🐒
Nani asafishe chama Mbowe???Wakuu....
Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama.
Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa siku wale waliomzunguka wanatajirika kwa mgongo wa Lisu.
No way inatosha SASA! Lisu hatutaki aendelee tena kuwa Victim na mtaji wa watu wengine wajanja janja pale CHADEMA, either awe Mwenyekiti asimamie mambo na kusafisha Chama au ajitenge nao kabisa Kwa maana ni ngumu mtu kama Lisu kuendelea kuchangamana na wala rushwa au watu wenye hofu ya kukemea maovu
Jamaa mshamba sanaUshoga unatoka wapi tena mkuu, tunapenda sana kuukuza bila sababu.
Chuko ndio kitu gani!!??Mwenzi anayo degree na alisoma chuko full time tofauti ni kilaza wenu Mbowe ambae baada ya kufeli elimu ya sekondari alikimbia kuwa disco joker🙆♂️🙆♂️🙆♂️
ni jambo la maana sana wazee chadema kutokua tayari kuongozwa na kiongozi ambae anaishi nje ya nchi 🐒Wezi wa fedha za Umma lazima mjitokeze kumbeza.
Ulishapiga hesabu siku za jakaya kukaa nchini versus alizoshinda nje ya nchi ?ni jambo la maana sana wazee chadema kutokua tayari kuongozwa na kiongozi ambae anaishi nje ya nchi 🐒
mbona unaleta story za abunuasi tena gentleman?Ulishapiga hesabu siku za jakaya kukaa nchini versus alizoshinda nje ya nchi ?
Mbona alikuongoza.
😂..mbona Mama Abduli kilaza lakini ana machawa kibao?
Ona ujinga unaoongea!! Angechangisha kutengenezewa gari?
Pesa huwa hazijifichi, hata kampeni zake uliona ni low budget kulinganisha na Nyalandu au Mbowe unaweza ona gap in funding. Lissu hana hela za kutisha maana sio fisadi.hahah and you really believe that kwamba alichangasha kwa sababu alikosa hela? kool-aid hiyo inafanya kazi, huyo con man kawapata kweli, you can’t see the forest for trees …