funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.
Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.
Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.
Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??
Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.
Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.