Mliisimamieaje Serikali wakati mlikuwa mnakimbia bungeni??Aliye unda Serikali ndiye anatakiwa kuonesha alichowafanyia Wananchi.
Mpinzani ANAJISIFU kwa yaliyofanywa na Serikali kwa KUISIMAMIA SERIKALI.
NA ANAKOSOA, ANALAUMU KWA YOTE YALIYOKOSEWA NA SERIKALI.
WAPINZANI WANAONESHA NINI CHA KUFANYA KAMA WATAPEWA RIDHAA NA WANANCHI.
Kama:-
Kuheshimu KATIBA KUHUSU VYAMA VYA SIASA.
KUUNDWA KWA KATIBA MPYA ITAKAYOTOA DIRA NA MIONGOZO BORA YA UENDESHAJI WA NCHI.
Rejea mfano wa Dr Slaa hapo juuUlitaka waje kukubeba mgongoni?.Ukiona hawakufanya lakuonyesha basi jua hayo maeneo bado yana kero mbalimbali na kama hivyo ndivyo maana yake ni kwamba chama na serikali iliyoko madarakani toka uhuru ndio walioshindwa kutatua hizo changamoto.
Asante sana kwa post yako.Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.
Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.
Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.
Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??
Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.
Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.
Kwa nini wavunje sheria badala ya kuwatumikia wananchi?
Ingekua hivyo kule kwa ndugai kungekua kama New york maana yeye alikua anashinda kabisa bungeni.punguza ujinga ndugu.Kwani hujui kazi za Mbunge? Mbunge anapashwa kuhakikisha jimbo lake linapata maendeleo kwa kuisimamia serikali kwenye jimbo lake. Sasa kama wakati wote akiwa bungeni ni kupinga kila kitu na kukimbia bunge eti kuna corona unategemea wapigakura wake wapate maendeleo kweli?
wakati unajiunga JF nilikukaribisha endelea kusoma thread zangu utanielewa kisha rudi kwenye hoja
Sipeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani, alisikika bwana jiwe. Hapo unataka uone maendeleo yapi mkuu?
Kwani chadema inakusanya kodi?
Ha ha ha Tukiongelea maendeleo si mtakufa kwa Kihoro...halafu mnasema maendeleo ya vitu....ha ha haBaada ya kushindwa kutetea ilani na sera zinazotolewa ktk kampeni na chama chao... Leo anamkumbuka dk. Slaa.... Hajui ht anatetea nn..
jingalao
Huna hoja zenye mashiko tunataka maendeleo sio kupeana sifa au kuimba mapambio..
Khs kuwananga wapinzani sio sawa...
Hilo👇 Ni jibu lako 1...
Hilo 👇 Ni jibu lako la 2
Jiulize kitu kidogo tu miaka yote chadema wapo bungeni na ruzuku ya kama mil 300 wanapata kila mwezi na misaada toka nje kibao lakini walishindwa hata kujenga ofisi yao tu
kwa miaka yao zaidi ya 25 Chadema imeshindwa hata kujenga ofisiJiulize kitu kidogo tu miaka yote chadema wapo bungeni na ruzuku ya kama mil 300 wanapata kila mwezi na misaada toka nje kibao lakini walishindwa hata kujenga ofisi yao tu
Wajenge mje mchome??!...
Na wewe ndio walewale...
Mfuko wa jimbo.Chadema hawakusanyi kodi
Unazungumzia umasakini!!,umasikini upo tu,hata wakipewa Chadema awatoweza kuondoa.CCM hakuna walichofanya kumsaidia raia wa kawaida japo imetawala miaka zaidi ya 50...
Maji Ni shida, raia wengi Ni maskini na wanaishi maisha duni, huduma za afya Bei juu, elimu Ni Bora elimu, hakuna ajira, vyuma vimekaza....
CCM wapo kutetea matumbo yao na kusahau raia wengi...
Mwaka huu... HATUDANGANYIKI.
We ni matraako kwan imeshika dola acha uzwazwaNikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.
Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.
Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.
Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??
Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.
Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.