Eti yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM. Bure kabisa. Tenganisha chama na serikali. CCM imetoa fedha zake mfukoni? Hizo ni fedha zetu za Kodi. Ushamba tu na uzumbukuku ndiyo unaomfanya uchwara wenu adhani pesa anazitoa mfukoni mwake. Eti anasema wazi kabisa kuwa atawalisha watoto wake na kuwaacha watoto wa jirani wafe njaa. Wakati hicho Chakula kimetafutwa na watoto wote. Ubinafsi, hofu, uchoyo, woga na ukosefu wa mvuto vinamfanya anaropoka tu maneno bila kujitambua ili kutafuta huruma ya wananchi. Mwaka huu hata aruke sarakasi hapati kitu,(maana push up hazina nafasi Tena) labda kwa njia ya wizi.