CHADEMA inakosa cha kuwaonesha wananchi walichofanya majimboni miaka 5 iliyopita

Hivi ACT si wamemsimamisha Membe? Mbona CCM wanauana na Chadema tu?
 
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.

Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.

Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.

Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??

Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.

Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.
Chadema haikusanyi Kodi,Haina polisi,haiteuwi wakurugenzi,haisimamii hazina,haikusanyi ushuru,haiwezi kuweka beria za mazao,
Chadema sio serikali,Chadema
 
Uchaguzi 2020 - Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule?, au ni hapendi watu wake?
 
Wanacho walichofanya

(1) kuwatafuna viti maalumu

(2) wabunge wawili wa kike kuishi Kama mke na mume

(3) kuwakata mishahara wabunge wao mishahara
 
Wabunge wa upinzani wamewatetea sana watumishi wa umma.Mfano Bulaya alipambana sana kupinga wastaafu kukatwa pensgeni zao
 
Uchaguzi mwepesi sana huu
Tunatakiwa kuchagua vitu au maneno matupu
 
Pumbavu, ni serikali tu inayofanya/kutekeleza shughuli za maendeleo, na chama kinachoongoza serikali ndio kinawajibika si vinginevyo!
Dr Wlibrod Slaa alifanya jambo akiwa upinzani huku Serikali kuu ikiwa ni ya CCM
 
Kweli Jinga lao...iyo miaka 5 uliyoitaja dola ilikuwa chini ya chadema ee???....ni vile mnajifanya viziwi wa kutosikia kejeli za Amiri jeshi wenu juu ya majimbo yalio chini ya upinzani...!!!
Wewe fala kabisa kwani Dr Slaa alipokuwa mbunge alikuwa yeye ndiye dola? Hukuwa cdm? nyumbu ni nyumbu
 
Nisome kwa utulivu hapa ulipo andika

"Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM."

na huku mwenyewe wajua ccm ndio wenye dola na maendeleo mnachagua ninyi kwa kupeleka???
Chadema si wanasemaga majukwaani wakati wanaomba kura kwamba watajenga Mabarabara. Wataleta Umeme. Wataboresha Huduma za Afya na Nk!!!!

Wakisha pewa Kura wakapita wanaanza kusema Chadema Haikusanyi Kodi sasa kama Ulijua Hukusanyi kodi kwa Nini uliwaongopea wananchi?

Hapa wananchi wanapaswa kuwapima hawa wahuni wanaotafuta madaraka kwa kuwa hadaa wananchi.

Naipongeza sana Serikali yangu ya chama cha mapinduzi kwa kuwa wahungwana wa kupeleka Maendeleo hata kwa wale wananchi hambao hawakuichagua.
 
Chadema haikusanyi Kodi,Haina polisi,haiteuwi wakurugenzi,haisimamii hazina,haikusanyi ushuru,haiwezi kuweka beria za mazao,
Chadema sio serikali,Chadema
Kule Karatu Dr Slaa alifanyaje?
 
Akuna walichofanya,wanabaki kulaumu tu,wangelaumu kwa mifano,wao wamefanya mambo gani ya maendeleo kwenye majimbo yao kisha ndo wawanyooshee wengine kidole.

CCM hakuna walichofanya kumsaidia raia wa kawaida japo imetawala miaka zaidi ya 50...

Maji Ni shida, raia wengi Ni maskini na wanaishi maisha duni, huduma za afya Bei juu, elimu Ni Bora elimu, hakuna ajira, vyuma vimekaza....

CCM wapo kutetea matumbo yao na kusahau raia wengi...

Mwaka huu... HATUDANGANYIKI.
 
Ungesoma uzi kwa utulivu

Rudia usome ulicho andika alafu uje uandike wabunge wa CCM na utawala wa CCM wamefanya Nini ktk maendeleo ya mtu mmoja mmoja...

Chenge amekuwa bungeni zaidi ya miaka 15 bungeni lkn Hadi leo wanannchi jimboni kwake wanalia shida...
 
Wanabaki kusema wanatembea na risasi viunoni.
 
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.

Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.

Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.

Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??

Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.

Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.
Kodi akusanye mwingine halafu maendeleo alete mwingine.

Yaani pesa ya chakula utoe kwa mkeo halafu, chakula ukaombe kwa jirani ?

Wewe kweli ni jingalao
 
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.

Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.

Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.

Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??

Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.

Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.
Kwa kawaidi kizuri kinakubalika,na kibaya kinatafuta kukubalika.
 
Hili ni JINGALAO. Najuta kupoteza muda wangu kuusoma upuuzi wake huu. Amebeba zigo badala ya kichwa.
 
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba.

Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea upinzani.

Mwaka 2015 tulijionea CHADEMA kupitia upepo wa Lowassa waliweza kupata majimbo mengi hasa maeneo ya Kaskazini mwa nchi.

Hoja unayoweza kujiuliza je kuna jambo gani la kimaendeleo walilolifanya kama initiative ya Kichama au kama wabunge waliopewa fursa??

Kimsingi ni Hakuna na yote yaliyofanywa yamefanywa na CCM.

Katika muktadha huu huu ndio maana leo hii mikutano ya Chadema itadoda tu kwani hakuna cha kuwaonesha wananchi.
HUO UMATI NDO KITU WANACHOONYESHA
 
Kwani hujui kazi za Mbunge? Mbunge anapashwa kuhakikisha jimbo lake linapata maendeleo kwa kuisimamia serikali kwenye jimbo lake. Sasa kama wakati wote akiwa bungeni ni kupinga kila kitu na kukimbia bunge eti kuna corona unategemea wapigakura wake wapate maendeleo kweli?
Mnajifanya hamjui Siasa za JPM kuyanyima Maendeleo majimbo ya upinzani ...huu ujinga sio kiwango Cha Dunia hii!
 
Back
Top Bottom