Nimewahi kufika nakuishi kwa kipindi kifupi ndani ya karatu, tena mwaka huu.
Miaka 25 ya upinzani, jambo kubwa walilolifanya ni mradi wa maji.
Mji mzima, barabara ya lami ni moja tu tena ya TANROAD, na kipande kidogo kinaelekea Halmashauri kam cha mita 800 hivi. Karatu ni wilaya, lakini hawana hata hospital ya wilaya zaidi ndio wanajengewa na Mamlaka ya Ngorongoro. Mji una vumbi jekundu na tpoe la kufa mtu, huwezi kuvaa ukapendeza. Ulevi na umalaya vimetamalaki kuanzia wenyeji hadi wageni.
Karatu ni sehemu nzuri ya utalii lkn fursa hii haitumiki ipasavyo.
Karatu ni mfano mbaya kwa jimbo la upinzani coz miaka 25 maendeleo hakuna ya maana.