Ungefuatilia kwanini nimemjibu vile ni kutokana na style yake pia ya kushindwa kuhimili mjadala nakujawa jazba huyo tuliyejibizana nae.Wewe upo composed,naomba majibu Mkuu.Kama ungependa kupata majibu, usingesema kwamba majibu ya hoja yako atakuja nayo Mnyika
CHADEMA imeshakufa Mimi naona kuiongelea Sana na kuipa promo
Wakati ule mlitoa kejeli za kutosha kwa wasukuma,sisi tupo kuwakumbusheni kuwa Wasukuma hawajasahau,karibuni lakini mjiandae kisaikolojia kujibu maswali magumu ya Wasukuma.
Sawa BossPunguza ukabila, Mwanza jiji Ni makabila yote. Ndio maana iliongozwa na mbunge mjaluo na mchaga kipindi Fulani kabla Magu hajaleta mambo ya kijinga.
Mnatumia jina la kabila kutambulisha uhuni kwanini wasingelitumia kabila la DJ chaga gang au rombo gang!?
Mmeyakanyaga sijui mtakuja na sera gani kuwadanganya hao wasukuma.
Wakati huo huo mnasema magufuli alikuwa mrundi chuki zidi ya wasukuma haita waacha salama.
Unaikumbuka Hotuba ya M/Kiti wa CDM baada tu ya msiba pia?
Acha uongo,Mbeya na Songwe tuu labda
Wengi mtasombwa kutoka mikoa mbalimbaliMimi nimepanga kuja huko Mwanza.
Yaani huko ndo tutachukua majimbo yoteee ....weee endelea kujitoa ufahamuUnaongelea mwanza ipi? Tumejiandaa kwa mapokezi ya kutisha na jjiji litazizima. Binafsi nitakuwepo Furahisha siku hiyo
Hakuna kituNimekuambia kaangalie kura za ubunge zilivyokuwa pamoja na wizi, wewe unaniambia labda. Kaangalie kwanza.
Chadema watashinda TarimeYaani huko ndo tutachukua majimbo yoteee ....weee endelea kujitoa ufahamu
Mlipowaita sukuma gang na kusema hamtarudia tena kumpa msukuma hamkujua ni ukabila!?Hao wasukuma wapo wapi?. Unaongea kana kwamba wasukuma wote wapo against CHADEMA. Msilete mambo ya Kenya ya kupiga kura kwa ukabila na maeneo.