CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

Kama ungependa kupata majibu, usingesema kwamba majibu ya hoja yako atakuja nayo Mnyika
Ungefuatilia kwanini nimemjibu vile ni kutokana na style yake pia ya kushindwa kuhimili mjadala nakujawa jazba huyo tuliyejibizana nae.Wewe upo composed,naomba majibu Mkuu.
 
CHADEMA imeshakufa Mimi naona kuiongelea Sana na kuipa promo

CHADEMA imekufaje?. Unazuia chama kufanya mikutano miaka Saba, uchaguzi ukifika unawaengua wagombea wake. Halafu unadai CHADEMA imekufa. Kama sio unafiki ni Nini?
 
Wakati ule mlitoa kejeli za kutosha kwa wasukuma,sisi tupo kuwakumbusheni kuwa Wasukuma hawajasahau,karibuni lakini mjiandae kisaikolojia kujibu maswali magumu ya Wasukuma.

Punguza ukabila, Mwanza jiji Ni makabila yote. Ndio maana iliongozwa na mbunge mjaluo na mchaga kipindi Fulani kabla Magu hajaleta mambo ya kijinga.
 
Mnatumia jina la kabila kutambulisha uhuni kwanini wasingelitumia kabila la DJ chaga gang au rombo gang!?
Mmeyakanyaga sijui mtakuja na sera gani kuwadanganya hao wasukuma.
Wakati huo huo mnasema magufuli alikuwa mrundi chuki zidi ya wasukuma haita waacha salama.

Hao wasukuma wapo wapi?. Unaongea kana kwamba wasukuma wote wapo against CHADEMA. Msilete mambo ya Kenya ya kupiga kura kwa ukabila na maeneo.
 
Unaikumbuka Hotuba ya M/Kiti wa CDM baada tu ya msiba pia?

Mbona Mbowe aliongea vizuri. Magufuli alivyokuwa anawatukana live?. Tena anasena washughulike bungeni Mimi nitawashughulikia huku nje.
 
Unaongelea mwanza ipi? Tumejiandaa kwa mapokezi ya kutisha na jjiji litazizima. Binafsi nitakuwepo Furahisha siku hiyo
Yaani huko ndo tutachukua majimbo yoteee ....weee endelea kujitoa ufahamu
 
Hao wasukuma wapo wapi?. Unaongea kana kwamba wasukuma wote wapo against CHADEMA. Msilete mambo ya Kenya ya kupiga kura kwa ukabila na maeneo.
Mlipowaita sukuma gang na kusema hamtarudia tena kumpa msukuma hamkujua ni ukabila!?
 
Back
Top Bottom