Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno pindua pindua, wakati mwingi tunawachosha wanachama na mashabiki wetu.Mlitaka ruzuku ikajenge Chato International Saloon?
Wabunge 19 viti maalumu hawana mchango wowote kwenye ruzuku!Muwe mnajielimisha kabla ya kuandika!Ruzuku hutokana na makundi hayaHuo ni mgawo kutokana na wabunge wao 20, pamoja na madiwani
Niseme tuu hongera kwa Halima na wenzie 19 kwa kukiwezesha chama kupata ruzuku
Mungu ibariki Tanzania
Basi CCM itakuwa "Likikoba" kabisaa maana inabeba mabilioni ya fedha ya ruzuku!Ndio maana zimefanyika hila kwenye uchaguzi ili ruzuku kubwa ibebwe na CCM!Chadema ni kikoba!
Unatakaje kwani?Pesa hiyo ni halali ya CDM kwa mujibu wa katiba na si hisani!Wanapokea pesa za serikali ambayo awaitambui.
Unakulakr ruzuku huku umeogomea matokeo ta uchaguzi.Ni part ya hela za kodi zao! Siyo za Jiwe!
Ruzuku ni hela ya wananchi /kodi zetu wanaCCM/ACT/CDM/wasionachama etc etc.....nitaila maana n kodi yangu pia, ni haki ya chama kupata ruzuku ya kujiendesha...... kupokea ruzuku hakufuti ukweli kuwa uchaguzi wa riggid!Unakulakr ruzuku huku umeogomea matokeo ta uchaguzi.
Ni kituko hicho [emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali kumbe inafata katiba ya nchi,leo mnakubali kwasababu mmeona ni jambo linawahusu pesa za chama chenu.Unatakaje kwani?Pesa hiyo ni halali ya CDM kwa mujibu wa katiba na si hisani!
Pesa hiyo ni kutokana na kodi za kila mtanzania hivyo msijimwambafy hapa!
Hata kufanya uchaguzi kila baada ya miaka 5,ni kufuata katiba!Kuwa na bunge,mahakama nk ni kufuata katiba!Hii haina maana kuwa katiba inafuatwa kwa 100%,no way!Serikali kumbe inafata katiba ya nchi,leo mnakubali kwasababu mmeona ni jambo la fedha.
Onyesha wamepata shs ngapi, acha majunguUle usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanaswinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
View attachment 1677814
Kulikuwa na uchaguzi au mlikuwa mnaamua nani apata nini wapuuzi nyieLissu kaitia hasara Chadema ilikuwa inapokea ruzuku milioni 300 kwa mwezi kuja Lisu imekuwa milioni 100 kaitia Chadema hasara ya milioni 200 kila mwezi ina maana kwa miaka mitano Chadema itakuwa imepoteza bilioni 6.
Lisu Katia hasara ya bilioni sita kwa kugombea kwake.
Lissu ueleze hiyo hasara utaifidiaje halafu ulikimbia ukakitelekezea chama madeni umemwacha Mbowe kwenye wakati mgumu hadi kakonda hadi macho sio vizuri ulichofanya.
Mnamawazo mgando sana, wakatae halafu?Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanaswinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
View attachment 1677814
Taarifa inasema ruzuku inapatikana sababu ya wabunge 20 ambao 19 kati yao wamefukuzwa. Meaning ni intention kuwa hawaihitaji hyo ruzuku na kma hukumu itakua upheld ina maana ruzuku itaporomoka kutoka hiko kiasi mpaka pengine million 5 kwa mwezi.Maneno pindua pindua, wakati mwingi tunawachosha wanachama na mashabiki wetu.