Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mimi binafsi nahesabu kuwa makanda wamepata pigo kubwa.
Hii ni sababu wao binafsi walijua yule kiongozi wa uasi Halima Mdee na wenzake wamekula wa chuya.
Makamanda wafia chama walijua Halima ndio mwisho wake,hasa baada ya Kamati kuu kudai imemfuta uanachama.
Lakini habari zilizogaa kwenye print media na social media kuwa Chadema huwa inavuta ruzuku kiasi cha mil 104,ni wazi kuwa sasa wepata pigo.
Sasa sio wakati muafaka kwa wao kukaa na waganga njaa ambao wanashibisha matumbo huku makamanda wakiwa hoi kiuchumi na kisiasa.