zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wapi wamezikubali? Gazeti inasema ITAPATA sio wameconfirm kupokea. Till then hakuna popote wamekiri kupokea hyo pesaIssue ipo katika COVID-19. Si wangezikataa maana ni pesa haramu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi wamezikubali? Gazeti inasema ITAPATA sio wameconfirm kupokea. Till then hakuna popote wamekiri kupokea hyo pesaIssue ipo katika COVID-19. Si wangezikataa maana ni pesa haramu?
Wewe mwenyewe ni kinara wa hao uliowaita wajinga.Nimegundua kuwa hii nchi ina wajinga wengi sana. Na tatizo kubwa ni watu kuyachukua mambo kama yalivyo, yaani hakuna hata kujiuliza walau kwa sekunde moja.
Nikusaidie tu kwamba, ruzuku ya chama chochote cha siasa, ni takwa la kisheria, halina uhusiano wowote na matokeo ya uchaguzi.
Kwa hiyo ziliendasha kampeni ya mwaka gani? Na CAG alienda kukagua mwaka ganiHazijulikani kivp wakat financial statements zote zilikia audited na CAG na akatoa hati safi.
Hizo Billion 8 ni michango iliyopo kikanuni kabisa na inaingizwa mfuko mkuu wa chama au ulidhani kuendesha kampeni unahitaji laki 5?
Kwa hiyo chadema watakataa ruzuku?Sasa ina maana gani wasuse wabunge 20 ambao wangewapa political mileage bungeni alafu wakubali 100M isiyoweza hata kuservice makao makuu na kanda zake hta kwa mwezi mmoja.
Udhamini wanaopata makes ruzuku look peanuts, huwezi risk credibility kwa 100M ni insanity.
CAG amekagua kila mwaka na hajawahi toa hati chafu btw mwaka jana ndio mliibua hiyo kashfa TAKUKURU ilichunguza ikaona hamna wizi ikaufyata. Pia CAG alitoa hati safi kwa CHADEMA amid hyo skendo.Kwa hiyo ziliendasha kampeni ya mwaka gani? Na CAG alienda kukagua mwaka gani
CCM walifakamia ndululu za katiba mpya licha ya kikao kuvunjwa! Na hawakutapishwa.Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
===
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, vyama sita vyenye sifa ya kupata ruzuku vimeanza kuneemeka baada ya kuingiziwa mgawo wa fedha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Vyama ambavyo vimevuna fedha hizo za mgao wa ruzuku hiyo unaotokana na idadi ya wabunge, madiwani na kura za urais ni pamoja na CCM, Chadema, ACT-Wazalendo, CUF, NCCR-Mageuzi na kile cha Democratic Party.
Kwa mujibu taarifa ambazo gazeti hili linazo, chama kinachoongoza kwa kuzoa ruzuku hiyo ni CCM yenye wabunge 354 ambacho kimepata zaidi ya Sh1.33 bilioni, Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni.
Vyama vingine vinavyopata ruzuku kwa idadi ya kura za madiwani ni pamoja na NCCR Mageuzi kilichoambulia Sh316,937, huku DP ikiambulia Sh63,387.
View attachment 1677814
Unatetea ujinga mkuu! Hata kama ni mahaba kwa chama chako ila unajua kabisa pale chadema hizo bilion 8 zimeingia kwenye matumbo ya kina Mbowe,CAG amekagua kila mwaka na hajawahi toa hati chafu btw mwaka jana ndio mliibua hiyo kashfa TAKUKURU ilichunguza ikaona hamna wizi ikaufyata. Pia CAG alitoa hati safi kwa CHADEMA amid hyo skendo.
Ssa tukuamini ww mchimba chumvi au CAG mwenye ujuzi wa forensic auditing?
Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
===
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, vyama sita vyenye sifa ya kupata ruzuku vimeanza kuneemeka baada ya kuingiziwa mgawo wa fedha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Vyama ambavyo vimevuna fedha hizo za mgao wa ruzuku hiyo unaotokana na idadi ya wabunge, madiwani na kura za urais ni pamoja na CCM, Chadema, ACT-Wazalendo, CUF, NCCR-Mageuzi na kile cha Democratic Party.
Kwa mujibu taarifa ambazo gazeti hili linazo, chama kinachoongoza kwa kuzoa ruzuku hiyo ni CCM yenye wabunge 354 ambacho kimepata zaidi ya Sh1.33 bilioni, Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni.
Vyama vingine vinavyopata ruzuku kwa idadi ya kura za madiwani ni pamoja na NCCR Mageuzi kilichoambulia Sh316,937, huku DP ikiambulia Sh63,387.
View attachment 1677814
Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
===
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, vyama sita vyenye sifa ya kupata ruzuku vimeanza kuneemeka baada ya kuingiziwa mgawo wa fedha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Vyama ambavyo vimevuna fedha hizo za mgao wa ruzuku hiyo unaotokana na idadi ya wabunge, madiwani na kura za urais ni pamoja na CCM, Chadema, ACT-Wazalendo, CUF, NCCR-Mageuzi na kile cha Democratic Party.
Kwa mujibu taarifa ambazo gazeti hili linazo, chama kinachoongoza kwa kuzoa ruzuku hiyo ni CCM yenye wabunge 354 ambacho kimepata zaidi ya Sh1.33 bilioni, Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni.
Vyama vingine vinavyopata ruzuku kwa idadi ya kura za madiwani ni pamoja na NCCR Mageuzi kilichoambulia Sh316,937, huku DP ikiambulia Sh63,387.
View attachment 1677814
Karatasi unafoji vp wakati unapaswa uonyeshe risiti, ankara, mapato na matumizi na procedure za procurement! Kuanzia tenda mpaka malipo?Unatetea ujinga mkuu! Hata kama ni mahaba kwa chama chako ila unajua kabisa pale chadema hizo bilion 8 zimeingia kwenye matumbo ya kina Mbowe,
CAG kwani si anakagua karatasi tu, au unafikiri watu awajui kufoji?
Sio kweli ruzuku inatokana na wingi wa kura walizopata kwenye uchaguzi mkuuHuo ni mgawo kutokana na wabunge wao 20, pamoja na madiwani
Niseme tuu hongera kwa Halima na wenzie 19 kwa kukiwezesha chama kupata ruzuku
Mungu ibariki Tanzania
Nithibitishie kuwa chadema wamezitumia hizo pesa, inaweza kuwa zimewekwa kwenye akaunti ya cdm lakini hawajazigusa, hiyo ilishawahi fanywa na yanga pamoja na diamondUle usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
===
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, vyama sita vyenye sifa ya kupata ruzuku vimeanza kuneemeka baada ya kuingiziwa mgawo wa fedha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Vyama ambavyo vimevuna fedha hizo za mgao wa ruzuku hiyo unaotokana na idadi ya wabunge, madiwani na kura za urais ni pamoja na CCM, Chadema, ACT-Wazalendo, CUF, NCCR-Mageuzi na kile cha Democratic Party.
Kwa mujibu taarifa ambazo gazeti hili linazo, chama kinachoongoza kwa kuzoa ruzuku hiyo ni CCM yenye wabunge 354 ambacho kimepata zaidi ya Sh1.33 bilioni, Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni.
Vyama vingine vinavyopata ruzuku kwa idadi ya kura za madiwani ni pamoja na NCCR Mageuzi kilichoambulia Sh316,937, huku DP ikiambulia Sh63,387.
View attachment 1677814
Watoe tamko kama hawajapokeaWapi wamezikubali? Gazeti inasema ITAPATA sio wameconfirm kupokea. Till then hakuna popote wamekiri kupokea hyo pesa
Wew kweli ni kiaziSio kweli ruzuku inatokana na wingi wa kura walizopata kwenye uchaguzi mkuu
Kwanini walipewa?? Kuna sehemu waliomba?? Wangeacha kuwapa ili muone kama wangedai.Mbowe akatae hela? Labda awe hajazaliwa Kilimanjaro
Huo ni mtego kwa chadema. Wapige hesabu waondoe kile kiasi Cha wale covid 19 waweke pembeni ,wasizitumie kabisa kwani hai siyo wabunge walioteuliwa kihalali.Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
===
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, vyama sita vyenye sifa ya kupata ruzuku vimeanza kuneemeka baada ya kuingiziwa mgawo wa fedha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Vyama ambavyo vimevuna fedha hizo za mgao wa ruzuku hiyo unaotokana na idadi ya wabunge, madiwani na kura za urais ni pamoja na CCM, Chadema, ACT-Wazalendo, CUF, NCCR-Mageuzi na kile cha Democratic Party.
Kwa mujibu taarifa ambazo gazeti hili linazo, chama kinachoongoza kwa kuzoa ruzuku hiyo ni CCM yenye wabunge 354 ambacho kimepata zaidi ya Sh1.33 bilioni, Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni.
Vyama vingine vinavyopata ruzuku kwa idadi ya kura za madiwani ni pamoja na NCCR Mageuzi kilichoambulia Sh316,937, huku DP ikiambulia Sh63,387.
View attachment 1677814
Basi CCM itakuwa "Likikoba" kabisaa maana inabeba mabilioni ya fedha ya ruzuku!Ndio maana zimefanyika hila kwenye uchaguzi ili ruzuku kubwa ibebwe na CCM!
Nawe pia mkuu mama D!Happy New Year kipara kipya
zitoo alisema kama hawajapokea wakiri hadharani mpaka sasa hakuna aliefungua domo lake kusema chadema hawajapokeaWapi wamezikubali? Gazeti inasema ITAPATA sio wameconfirm kupokea. Till then hakuna popote wamekiri kupokea hyo pesa