Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha bendera ya upinzani. Imagine mwana CCM anagombea Urais kupitia chama kikuu cha upinzani.
Amkeni.
Kama lengo ni ruzuku na posho Mbowe anafaa ila kama lengo ni kubadili Dola na mfumo wake Mbowe ni kirusi.
Wengine watasema mbona mahindi yake Magufuli aliyang'oa, mbona alikaa rumande inakuwaje apate adha ilhali system inamtambua?
Ukiruhusu ufahamu wako ukue utapata jibu la hayo maswali yako.