Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo unasemaje?Unafikiri unawaandikia watoto wa chekechea hapa. Ndivyo unavyojidanganya sio.
Japo natamani mabadiliko siyo Kwa uongo huu,aliyopitia FM ni magumu sanaaakuwekwa
Umeandika ujinga.Kwahiyo unasemaje?
Inaweza kuwa Kweli lakini swala la Lowasa Mbowe hakuwa na ngubu hiyo. Kamati kuu ilikodi watalaam nje ya Nchi kufanya uchunguzi hali halisi ya Uchaguzi na ushindani.2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha bendera ya upinzani. Imagine mwana CCM anagombea Urais kupitia chama kikuu cha upinzani.
Amkeni.
Kama lengo ni ruzuku na posho Mbowe anafaa ila kama lengo ni kubadili Dola na mfumo wake Mbowe ni kirusi.
Wengine watasema mbona mahindi yake Magufuli aliyang'oa, mbona alikaa rumande inakuwaje apate adha ilhali system inamtambua?
Ukiruhusu ufahamu wako ukue utapata jibu la hayo maswali yako.
Hawa vijana hawajui mchezo mchafu wa CCMMbowe ni kachero bobezi, kuanzia kwa Aikaeli na BoT yao. Mleta mada asikilizwe
Kama unaamini una hoja za msingi haya maswali yajibu. Sio unayaweka ili watu wasikuulize halafu uyaache. Jibu hizi hoja.Wengine watasema mbona mahindi yake Magufuli aliyang'oa, mbona alikaa rumande inakuwaje apate adha ilhali system inamtambua?
Ndio siasa hizo.Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha bendera ya upinzani. Imagine mwana CCM anagombea Urais kupitia chama kikuu cha upinzani.
Ule mpango wala haukuanzia kwa Mbowe. Hekaya zinasema Dr. Slaa ndo alimpeleka Lowassa.2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha bendera ya upinzani. Imagine mwana CCM anagombea Urais kupitia chama kikuu cha upinzani.
Amkeni.
Kama lengo ni ruzuku na posho Mbowe anafaa ila kama lengo ni kubadili Dola na mfumo wake Mbowe ni kirusi.
Wengine watasema mbona mahindi yake Magufuli aliyang'oa, mbona alikaa rumande inakuwaje apate adha ilhali system inamtambua?
Ukiruhusu ufahamu wako ukue utapata jibu la hayo maswali yako.
Kwamba Mbowe ndo huwaelekeza polisi na wasimamizi wa uchaguzi kuibeba ccm kwenye upigaji kura?!CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima
Mbowe must go!2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha bendera ya upinzani. Imagine mwana CCM anagombea Urais kupitia chama kikuu cha upinzani.
Amkeni.
Kama lengo ni ruzuku na posho Mbowe anafaa ila kama lengo ni kubadili Dola na mfumo wake Mbowe ni kirusi.
Wengine watasema mbona mahindi yake Magufuli aliyang'oa, mbona alikaa rumande inakuwaje apate adha ilhali system inamtambua?
Ukiruhusu ufahamu wako ukue utapata jibu la hayo maswali yako.
Naweka msumari hapaMbowe must go!