CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

Ni Kweli
 
Upotofu mkubwa!
 
Magufuli asingemsulubisha kwa kiwango kile. Alimharibia biashara zake nyingi,licha ya kupelekwa gerezani mara nyingi tu. Hata Rais aliyepo kwasasa alimuita gaidi na alimsotesha rumande zaidi ya miezi8
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na inasemekana tayari ana uraia wa nchi zaidi ya moja, huku chances zake kuishi Tanzania zikiwa ni chini ya 2%.


kufadhiliwa kwake na mabwenyenye ya magharibi ndicho hasa chanzo cha kiburi, uchu na tamaa ya madaraka alonayo.

ana chini ya 8% kushinda uchaguzi ndani ya chadema 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…