Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Ugaidi sometimes huwa una sababu za msingi.
Omary Mahita aliyekuwa IGP ambaye rekodi yake ya ukatili bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kukabiliwa na Mashitaka ya aibu ya kumjaza mimba house girl wake na kukataa kutunza mtoto , bado tunachunguza kama alibaka ama walikubaliana.

Hii maana yake ni kwamba madaraka kuna wakati yanaisha na maisha ya kawaida hutokea .
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…