Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Kama hayo ni ya hakika ieleweke chama latu litashinda kwa vishindo kuliko serekali za mitaa
 
Jamani wapeni Ili wachunguzwe nyendo zao, hatutaki kabisa rushwa.
Kuna Rushwa kubwa kama ya kutumia pesa za walipa kodi kisha kusingizia kuwa umeleta maendeleo kana kwamba unatumia pesa zako binafsi, kuleta maendeleo kwa pesa za wananchi kisha kutumia kama kisingizio ni Rushwa kwani unajidai kuwa ni wewe umeyaleta maendeleo kwa nguvu zako binafsi.
 
 
 

Attachments

  • EdDZMm-WAAIXmtH.jpg
    21.9 KB · Views: 1
Tulia dawa ikuingie,na kama ni uongo Polisi ndio itajibu na sio wewe.
 

 
Jeshi la CCM lishaanza bwembwe zakeb iayari.... tutashuhudia mengi mwaka huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…