Basi peleka mashitaka Kwa msajili kwani ndiyo kimbilio la Wana CCM kuweza kuhakikisha uwepo wao.Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Bwana RITZ mbana hazo hoja zilipendwa, tafuta zingine hizo hazina mashiko.Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Kumbe Ritz na johnthebaptist ni kitu kimoja, achana na CDM, kashindwa Magufuli sembuse nyi vikaragosiWanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Kwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?
Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
ACHA KUWAZA UPUUZI KILA WAKATIIWanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Unajielewa kweli brother?Kwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?
Kabla ya kupewa nchi chadema ilipaswa kuwa mfano bora kuanzia uongozi wake yenyewe.
Miaka 30 kwenye siasa huku mkishindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama.
Mnaishia kulipa pango kwa mke wa Anthony Komu?
Na pale mlipishitukiwa ndio chadema imejtahidi kununua ile nyumba ya mbele tu.
Chama cha Baba mkwe amempa mkwe wake Uenyekiti na hataki kubanduka.
Wapi usafi wao!
Je!
Mna tofauti gani na CCM hii ya Wahuni kina Nape?
CHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?ACHA KUWAZA UPUUZI KILA WAKATII
Unaelewa maana ya demokrasia?Katiba Mpya ni takwa la Watanzania wewe! Hao Chadema wamejitolea tu kuwasemea mamilioni ya Watanzania baada ya kugundua ninyi CCM hamtaki mabadiliko ya kweli ya nchi hii.
Ndiyo maana tunataka tuitumie hiyo katiba mpya kuwaondoa viongozi ving'ang'anizi wa vyama na chama chenye dola Kama raia hairiziki na utawala wake.Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Mkujki kwa nguruwe...Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?
Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
Sema watanzania ni wakimya Sana. Lakini ukiitishwa uchaguzi wa haki na time ikasimamia kwa haki CCM mtaambulia 0%.CHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?
Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.
Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.
Kifupi mnapoteza MUDA tu.
ACHA UJINGA. Thibitisha chadema hakuna demokrasiaCHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?
Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.
Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.
Kifupi mnapoteza MUDA tu.
Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
2022 - 1993 = 29 . Aisee , I did not knew about this.
Yaani kama Mtoto Alizaliwa Kipindi hicho Sasa ni Baba au Mama mtu mzima..!
Kamanda bado anadunda na Kiti haachiii..!