CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

Sema watanzania ni wakimya Sana. Lakini ukiitishwa uchaguzi wa haki na time ikasimamia kwa haki CCM mtaambulia 0%.

Watu wanahasira za kufa mtu. Tunawaona hata huko kwenye misiba wanapotoa salamu watu wanvyoguna na kutoa macho Kama wanataka kumrukia mtu.
SEMA UNAHASIRA PEKEYAKO KWA SABABU ZAKO USISEMEE WENGNE MBONA MIMI SINA HASIRA RELAX BRO UTAKUFA SIKU SI ZAKO NA MIHASIRA ISIYO NA MAANA
 
ACHA UJINGA. Thibitisha chadema hakuna demokrasia
MLIBADIRISHA MARA YAMWISHO LINI MWENYEKITI? UNADHANI WOTE WANARIDHIKA NA UONGOZI WA MBOWE ALIYESHINDWA HATA KUJENGA OFISI YA CHAMA?
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Kwahiyo Mbowe ni mwenyekiti wa chadema kuanzia 1993? Idiot 🚮
 
Unaelewa maana ya demokrasia?

CHADEMA kina demokrasia gani?

Kama Mwalimu Nyerere baada ya Uhuru angempa nchi Shemeji yake, kisha akafuatia mkwe wake, watoto wake, ndugu zake leo tungekuwa na Rais Samia kutoka Zanzibar?

Mbowe ni Mkwe wa Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA.
HALAFU WANASEMA NI CHAMA CHA SIASA CHENYE DEMOCRASIA HIKI NI KIKUNDI CHA WAPIGAJI CHA UKOO
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Kwani wanufaika wa Katiba mpya ni chadema? You bullshit
 
HALAFU WANASEMA NI CHAMA CHA SIASA CHENYE DEMOCRASIA HIKI NI KIKUNDI CHA WAPIGAJI CHA UKOO
CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.

wakati huo mwenyekiti wao anakesha kuomba vikao vya Siri na CCM/Ikulu.
 
Katiba Mpya ni takwa la Watanzania wewe! Hao Chadema wamejitolea tu kuwasemea mamilioni ya Watanzania baada ya kugundua ninyi CCM hamtaki mabadiliko ya kweli ya nchi hii.
UKIULIZWA HII INAMAPUNGUFU GANI UNAWEZA KUSEMA ? UNALALA MIKA TU HATA KATIBA HUIJUI HAYA SEMA UNATAKA KATIBA MPYA IPI VITU GANI AMBAVYO VINAKUUZI KWENYE HII SASA?
 
Kwani wanufaika wa Katiba mpya ni chadema? You bullshit
WANAFIKIRI ITAWAWEKA MADARAKANI NA WANACHOKITAKA KWENYE KATIBA MPYA NI TUME HURU TU MENGINE HATA YAKIBAKI KAMA YALIVYO SASA HAO NI WATU AU MASHETANI TU
 
Ni mpumbavu pekee anaweza kuilinganisha CCM na CHADEMA.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo.

Hivi nyie mnajielewa kweli?[emoji855]

Aisee. Ungetoa kauli hii enzi za Jiwe, hapan’ shaka ungepewa uKM wa CCM bila tashwishwi wala kupepesa macho. Ulikuwa wapi enzi zile mkuu?
 
Kwani wanufaika wa Katiba mpya ni chadema? You bullshit
Acha kukariri kwa akili yako ya kibumunda unadhani ikija Katiba Mpyq utakuwa na maisha mazuri bila kufanya kazi unashinda Ufipa toka asubuhi, kuna nchi ina katiba nzuri kama Uganda, Kenya, Afrika Kusini? Angalia umasikini ulivyojaa na viongozi walivyokuwa mafisadi.
 
Unauliza maswali kama una umri wa miaka 10! Mwaka 2012 tumetoa maoni ya Katiba pendekezwa kwenye tume ya kukusanya maoni ya Jaji Warioba! Halafu leo unakuja kuniuliza maswali ya kitoto!

Sina muda wa kujibu upuuzi.
HUNA MAJIBU KWAKUWA HATA UNACHO KITETEA HUKIJUI NI BUSARA UKANYAMAZA KAMA HUJUI HATA UNATAKA NINI AU KIPI KIBADIRIKE KWENYE KATIBA NDIYO NYIE MKIULIZWA MNASEMA MNATAKA WABADIRI WAWEKE TUME HURU NANI INAMSAIDIAHIYO NYOKO MNAITAKA?
 
Ameanza kuwa mwenyekiti wa chadema mwaka 2004, baada ya Bob Makani kustaafu (ambae alikuwa mwenyekiti kuanzia mwaka 1999-2004)
Amekuwa mwenyekiti miaka mingapi?
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Unajishushia hadhi kijinga. Fanya uchunguzi kabla ya kuandika Mbowe alipokea uenyekiti kwa Mtei!!!
 
Unajishushia hadhi kijinga. Fanya uchunguzi kabla ya kuandika Mbowe alipokea uenyekiti kwa Mtei!!!
Nani kwa kwambia mimi nataka hadhi?
Ukiona chama cha siasa kutwa kucha kinalalamika kwamba Utawala uliopo madarakani ni madhalimu na wanafanyiwa dhulma alafu Mlango wa nyuma chama hicho kinakesha kuomba vikao Ikulu kiogope kama ukoma.
CHADEMA ni CCM ‘B’, mfalme wao anaendesha kipindi drama nyingi kwenye mitandao.
 
I wish ningefahamu umri wako kwanza kabla kujiizana na wewe. Mambo ninanyo yataka nilishayasema kwenye tume ya kukusanya maoni wakati huo! Nimefuatilia Bunge la Katiba kuanzia mwanzo mpaka mwisho! Bado hayo maoni nimeshayasema sana humu jukwaani kipindi cha nyuma!

Sasa huu uharo unao usema hapa kakuambia nani? Eti fyoko fyoko nini sijui! Nadhani iwe mara ya mwisho sasa kuni quote, kabla sijakuweka kwenye ignore list kama ninavyo wafanyia wajinga wenzako wengine. Maana tutaanza kutibuana sasa hivi. Kubishana na mtu mwenye akili ndogo kunachosha afya ya mwili.
YOU ARE A WASTE SPARM SHIT
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Katiba ni hitaji la watanzania siyo la CHADEMA.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Acha kupotosha. Baada ya Mtei aliingia Makani. Mbowe amekuja kupewa uenyekiti nadhani kwenye 2004 kabla ya uchaguzi mkuu.

Aisee , Kwaiyo Wanamsingizia ni 2004 na Sio 1993.... Hata hivyo Si haba

2022 - 2004 = 18

Kwaiyo Mwamba Anakatiza miaka 18 Kuelekea miaka 19. Aaah Kamanda Katisha.!
 
Back
Top Bottom