econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hoja gani za mashiko kulazimisha kuingia mpirani na matisheti ya Chadema katiba mpya?
CHADEMA inakutesa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja gani za mashiko kulazimisha kuingia mpirani na matisheti ya Chadema katiba mpya?
Naona Allah's warrior umeamka tena na Chadema asubuhi asubuhi! 🤣Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Unaelewa maana ya demokrasia?
CHADEMA kina demokrasia gani?
Kama Mwalimu Nyerere baada ya Uhuru angempa nchi Shemeji yake, kisha akafuatia mkwe wake, watoto wake, ndugu zake leo tungekuwa na Rais Samia kutoka Zanzibar?
Mbowe ni Mkwe wa Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA.
CHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?
Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.
Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.
Kifupi mnapoteza MUDA tu.
Unajielewa kweli brother?
Freeman Mbowe ni Mkwe wa Mzee Edwin Mtei
Freeman Aikael Mbowe ameoa mtoto wa kike wa mzee Mtei (muasisi na mmiliki wa CHADEMA)
Sasa hauoni chama ni kama ‘Group la WhatsApp la Familia”?
Kwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?
Kabla ya kupewa nchi chadema ilipaswa kuwa mfano bora kuanzia uongozi wake yenyewe.
Miaka 30 kwenye siasa huku mkishindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama.
Mnaishia kulipa pango kwa mke wa Anthony Komu?
Na pale mlipishitukiwa ndio chadema imejtahidi kununua ile nyumba ya mbele tu.
Chama cha Baba mkwe amempa mkwe wake Uenyekiti na hataki kubanduka.
Wapi usafi wao!
Je!
Mna tofauti gani na CCM hii ya Wahuni kina Nape?
Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Unadhani hauna uhakika?Acha kupotosha. Baada ya Mtei aliingia Makani. Mbowe amekuja kupewa uenyekiti nadhani kwenye 2004 kabla ya uchaguzi mkuu.
Miaka 22? Mabadiliko gani hayo ambayo ameyaleta?Mbowe yupo madarakani kutokana na kusaidia kuleta mabadiriko ndani ya chadema mpaka kukifanya kuwa chama kikuu Cha upinzani
Jibu hoja achana na kutukana Waislam hata Chadema wapo Waislam.Naona Allah's warrior umeamka tena na Chadema asubuhi asubuhi! 🤣
Kwa hiyo na nyie Chadema mnapata excuse ya Mbowe kuwa Mweyekiti wa maisha?Sijawahi kushuhudia uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa ukifanyika, demokrasia ndani ya CCM ni finyu mno, mwenyekiti hachaguliwi bali anapitishwa tu na wajumbe wa mkutano mkuu.
Ahaa Allah warrior vipi mazee! Mimi sina uhusiano wowote na Chadema. Mimi na-deal na ma-warriors wa Allah wanaotumia dini kuposha siasa!Jibu hoja achana na kutukana Waislam hata Chadema wapo Waislam.
Jibu hoja…
Kumbe ndiyo maana Mbowe kwa miaka 22 mwenyekiti CHADEMA.
Chama kina wanachama na wafuasi wapumbavu hadi inatia huruma yaaani.
Mr warrior naona umepopteza tayari net za sense! Angalia usije ukaonyesha ushujaa hapa!Kwa akili hizi za kibumunda ndiyo watuashauri tudai Katiba Mpya?
Hahahaa
Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Ni mpumbavu pekee anaweza kuilinganisha CCM na CHADEMA.Mr warrior naona umepopteza tayari net za sense! Angalia usije ukaonyesha ushujaa hapa!
Allah warrior bwana. Nani kalinganisha ni mwa-attach...-wack wock wack! Niambie ewe shujaaNi mpumbavu pekee anaweza kuilinganisha CCM na CHADEMA.
Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.
CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.
Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo.
Hivi nyie mnajielewa kweli?🤒
Swali simple tu vijana wa CHADEMA mapovu pipa zima. 😤😁ACHA UJINGA. Thibitisha chadema hakuna demokrasia
KUBALINI UKWELI CHADEMA FANYENI MAREKEBISHO YA KATIBA YENU KWANZAMbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?
Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.