tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Dada shonza wamekusikia,eti mama salma na mwanae wote wamerithishwa ubungeWanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?