CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

Naona Allah's warrior umeamka tena na Chadema asubuhi asubuhi! 🤣
 
Acha kupotosha. Baada ya Mtei aliingia Makani. Mbowe amekuja kupewa uenyekiti nadhani kwenye 2004 kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Achana na chadema vyama vipo vingi Sana. Kwa nini unahangaika.
 
Unajielewa kweli brother?

Freeman Mbowe ni Mkwe wa Mzee Edwin Mtei

Freeman Aikael Mbowe ameoa mtoto wa kike wa mzee Mtei (muasisi na mmiliki wa CHADEMA)

Sasa hauoni chama ni kama ‘Group la WhatsApp la Familia”?

Mbona Karume na Mwinyi huwaongelei.
 
Chadema
Ungeanza kwa kutuambia ni halali baba na mtoto kuongoza nchi pekee yao. Yani Karume na Mwinyi?. Maana umekomalia Mbowe ni mkwe wa Mtei.
 
Mbowe yupo madarakani kutokana na kusaidia kuleta mabadiriko ndani ya chadema mpaka kukifanya kuwa chama kikuu Cha upinzani
 
Acha kupotosha. Baada ya Mtei aliingia Makani. Mbowe amekuja kupewa uenyekiti nadhani kwenye 2004 kabla ya uchaguzi mkuu.
Unadhani hauna uhakika?

Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka takribani 22 hawezi kutuambia anapigania ‘demokrasia’

Ni demokrasia gani iko CHADEMA?

Kwamba miaka 22 ni Mbowe pekee anayeweza kuwa mwenyekiti?
 
Mbowe yupo madarakani kutokana na kusaidia kuleta mabadiriko ndani ya chadema mpaka kukifanya kuwa chama kikuu Cha upinzani
Miaka 22? Mabadiliko gani hayo ambayo ameyaleta?

Makao Makuu ya Chadema yapo wapi?

Ni aibu chama kama Chadema kupqnga upande wa room 2 kama ofisi na Makao Makuu ya chama.
 
Sijawahi kushuhudia uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa ukifanyika, demokrasia ndani ya CCM ni finyu mno, mwenyekiti hachaguliwi bali anapitishwa tu na wajumbe wa mkutano mkuu.
 
Naona Allah's warrior umeamka tena na Chadema asubuhi asubuhi! 🤣
Jibu hoja achana na kutukana Waislam hata Chadema wapo Waislam.

Jibu hoja…

Kumbe ndiyo maana Mbowe kwa miaka 22 mwenyekiti CHADEMA.

Chama kina wanachama na wafuasi wapumbavu hadi inatia huruma yaaani.
 
Sijawahi kushuhudia uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa ukifanyika, demokrasia ndani ya CCM ni finyu mno, mwenyekiti hachaguliwi bali anapitishwa tu na wajumbe wa mkutano mkuu.
Kwa hiyo na nyie Chadema mnapata excuse ya Mbowe kuwa Mweyekiti wa maisha?
 
Jibu hoja achana na kutukana Waislam hata Chadema wapo Waislam.

Jibu hoja…

Kumbe ndiyo maana Mbowe kwa miaka 22 mwenyekiti CHADEMA.

Chama kina wanachama na wafuasi wapumbavu hadi inatia huruma yaaani.
Ahaa Allah warrior vipi mazee! Mimi sina uhusiano wowote na Chadema. Mimi na-deal na ma-warriors wa Allah wanaotumia dini kuposha siasa!
 
Ahaa Allah warrior vipi mazee! Mimi sina uhusiano wowote na Chadema. Mimi na-deal na ma-warriors wa Allah wanaotumia dini kuposha siasa!
Kwa akili hizi za kibumunda ndiyo watuashauri tudai Katiba Mpya?

Hahahaa
 
Sisi wananchi tuliojitokeza kwa Tume ya Waryoba na kutoa maoni yetu kuhusu hitaji la katiba mpya, tubadilishe nini kwanza ndio tupate katiba mpya?
 
Mr warrior naona umepopteza tayari net za sense! Angalia usije ukaonyesha ushujaa hapa!
Ni mpumbavu pekee anaweza kuilinganisha CCM na CHADEMA.

Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.

CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.

Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo.

Hivi nyie mnajielewa kweli?🤒
 
Allah warrior bwana. Nani kalinganisha ni mwa-attach...-wack wock wack! Niambie ewe shujaa
 
ACHA UJINGA. Thibitisha chadema hakuna demokrasia
Swali simple tu vijana wa CHADEMA mapovu pipa zima. 😤😁
CHADEMA tufundisheni neno “demokrasia” kwenye jina la chama chenu linamaanisha nini kama chama kinaweza kuwa na mwenyekiti wa milele (miaka takribani 22)

Wewe unaona ni sawa?
 
Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?

Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
KUBALINI UKWELI CHADEMA FANYENI MAREKEBISHO YA KATIBA YENU KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…