SEMA UNAHASIRA PEKEYAKO KWA SABABU ZAKO USISEMEE WENGNE MBONA MIMI SINA HASIRA RELAX BRO UTAKUFA SIKU SI ZAKO NA MIHASIRA ISIYO NA MAANASema watanzania ni wakimya Sana. Lakini ukiitishwa uchaguzi wa haki na time ikasimamia kwa haki CCM mtaambulia 0%.
Watu wanahasira za kufa mtu. Tunawaona hata huko kwenye misiba wanapotoa salamu watu wanvyoguna na kutoa macho Kama wanataka kumrukia mtu.
MLIBADIRISHA MARA YAMWISHO LINI MWENYEKITI? UNADHANI WOTE WANARIDHIKA NA UONGOZI WA MBOWE ALIYESHINDWA HATA KUJENGA OFISI YA CHAMA?ACHA UJINGA. Thibitisha chadema hakuna demokrasia
Kwahiyo Mbowe ni mwenyekiti wa chadema kuanzia 1993? Idiot 🚮Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
HALAFU WANASEMA NI CHAMA CHA SIASA CHENYE DEMOCRASIA HIKI NI KIKUNDI CHA WAPIGAJI CHA UKOOUnaelewa maana ya demokrasia?
CHADEMA kina demokrasia gani?
Kama Mwalimu Nyerere baada ya Uhuru angempa nchi Shemeji yake, kisha akafuatia mkwe wake, watoto wake, ndugu zake leo tungekuwa na Rais Samia kutoka Zanzibar?
Mbowe ni Mkwe wa Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA.
Kwani wanufaika wa Katiba mpya ni chadema? You bullshitWanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
CHADEMA wakiwa kwenye mitandao wanatuambia CCM ni watu watekaji, wauaji, wakandamiza haki, madhalimu.HALAFU WANASEMA NI CHAMA CHA SIASA CHENYE DEMOCRASIA HIKI NI KIKUNDI CHA WAPIGAJI CHA UKOO
UKIULIZWA HII INAMAPUNGUFU GANI UNAWEZA KUSEMA ? UNALALA MIKA TU HATA KATIBA HUIJUI HAYA SEMA UNATAKA KATIBA MPYA IPI VITU GANI AMBAVYO VINAKUUZI KWENYE HII SASA?Katiba Mpya ni takwa la Watanzania wewe! Hao Chadema wamejitolea tu kuwasemea mamilioni ya Watanzania baada ya kugundua ninyi CCM hamtaki mabadiliko ya kweli ya nchi hii.
WANAFIKIRI ITAWAWEKA MADARAKANI NA WANACHOKITAKA KWENYE KATIBA MPYA NI TUME HURU TU MENGINE HATA YAKIBAKI KAMA YALIVYO SASA HAO NI WATU AU MASHETANI TUKwani wanufaika wa Katiba mpya ni chadema? You bullshit
Ni mpumbavu pekee anaweza kuilinganisha CCM na CHADEMA.
Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi.
CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini.
Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi Himo.
Hivi nyie mnajielewa kweli?[emoji855]
Ameanza kuwa mwenyekiti wa chadema mwaka 2004, baada ya Bob Makani kustaafu (ambae alikuwa mwenyekiti kuanzia mwaka 1999-2004)Sema basi wewe kuanzia mwaka gani?
Acha kukariri kwa akili yako ya kibumunda unadhani ikija Katiba Mpyq utakuwa na maisha mazuri bila kufanya kazi unashinda Ufipa toka asubuhi, kuna nchi ina katiba nzuri kama Uganda, Kenya, Afrika Kusini? Angalia umasikini ulivyojaa na viongozi walivyokuwa mafisadi.Kwani wanufaika wa Katiba mpya ni chadema? You bullshit
HUNA MAJIBU KWAKUWA HATA UNACHO KITETEA HUKIJUI NI BUSARA UKANYAMAZA KAMA HUJUI HATA UNATAKA NINI AU KIPI KIBADIRIKE KWENYE KATIBA NDIYO NYIE MKIULIZWA MNASEMA MNATAKA WABADIRI WAWEKE TUME HURU NANI INAMSAIDIAHIYO NYOKO MNAITAKA?Unauliza maswali kama una umri wa miaka 10! Mwaka 2012 tumetoa maoni ya Katiba pendekezwa kwenye tume ya kukusanya maoni ya Jaji Warioba! Halafu leo unakuja kuniuliza maswali ya kitoto!
Sina muda wa kujibu upuuzi.
Unajishushia hadhi kijinga. Fanya uchunguzi kabla ya kuandika Mbowe alipokea uenyekiti kwa Mtei!!!Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Nani kwa kwambia mimi nataka hadhi?Unajishushia hadhi kijinga. Fanya uchunguzi kabla ya kuandika Mbowe alipokea uenyekiti kwa Mtei!!!
YOU ARE A WASTE SPARM SHITI wish ningefahamu umri wako kwanza kabla kujiizana na wewe. Mambo ninanyo yataka nilishayasema kwenye tume ya kukusanya maoni wakati huo! Nimefuatilia Bunge la Katiba kuanzia mwanzo mpaka mwisho! Bado hayo maoni nimeshayasema sana humu jukwaani kipindi cha nyuma!
Sasa huu uharo unao usema hapa kakuambia nani? Eti fyoko fyoko nini sijui! Nadhani iwe mara ya mwisho sasa kuni quote, kabla sijakuweka kwenye ignore list kama ninavyo wafanyia wajinga wenzako wengine. Maana tutaanza kutibuana sasa hivi. Kubishana na mtu mwenye akili ndogo kunachosha afya ya mwili.
Katiba ni hitaji la watanzania siyo la CHADEMA.Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Acha kupotosha. Baada ya Mtei aliingia Makani. Mbowe amekuja kupewa uenyekiti nadhani kwenye 2004 kabla ya uchaguzi mkuu.