tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Dada shonza wamekusikia,eti mama salma na mwanae wote wamerithishwa ubungeWanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Dhumuni la katiba mpya sio kuing'oa CCM madarakani bali ni kuweka misingi thabiti ya maendeleo na ustawi wa watanzania wote bila kujali itikadi zao kwa kubainisha haki na wajibu wa viongozi kwa wananchi na wananchi kwa taifa lao. Tofautisha siasa chafu na mambo ya msingiWanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Sina hasira ila ninauchungu na nchi ya Tanzania brooo. Ila wewe ndiye mwenye hasira. Kama huna hasira na Mbowe kwa Nini anakunyima usingizi? Mbowe ni professional, ni mwanaharakati aliyekomaaa. Angalia nchi ilivyonyong'onyea Kama wapo kwenye Msiba.SEMA UNAHASIRA PEKEYAKO KWA SABABU ZAKO USISEMEE WENGNE MBONA MIMI SINA HASIRA RELAX BRO UTAKUFA SIKU SI ZAKO NA MIHASIRA ISIYO NA MAANA
tena mbowe sasa hivi hana makali tena ameshalegea kama lishoga tu linavyokuwa yaani hata jina la mwamba msimwite tena yaani amekuwa mtu wa kuwafookea msiitukane serikali? hazungumzii katiba mpya tena yaani mmepigwa na kitu kizitoSina hasira ila ninauchungu na nchi ya Tanzania brooo. Ila wewe ndiye mwenye hasira. Kama huna hasira na Mbowe kwa Nini anakunyima usingizi? Mbowe ni professional, ni mwanaharakati aliyekomaaa. Angalia nchi ilivyonyong'onyea Kama wapo kwenye Msiba.
Tunakata tusikie taariza za mikoani Nini kimeongezeka kwa ajili ya kipato kwa wananchi wake. Sio kila siku malalamiko ya ngpno.
Mbowe kiboko yenu. Anawatime muingie kumi na nane zake. Kutulia kwake msimwone bwege. Akitoa kichwa msianze kukimbilia silaha na vitisho. Mfuate Hilo likatiba lenu lenye maviraka mpa limechoka linasema halitaki tena repea.tena mbowe sasa hivi hana makali tena ameshalegea kama lishoga tu linavyokuwa yaani hata jina la mwamba msimwite tena yaani amekuwa mtu wa kuwafookea msiitukane serikali? hazungumzii katiba mpya tena yaani mmepigwa na kitu kizito
Mr Ritz unasema hivyo kama Mtanzania mwingine au msimamo wa chama chako au serikali?Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Huo ni mtazamo potofu tuona yajayo yatakufurahisha au kukuhuzunisha?tena mbowe sasa hivi hana makali tena ameshalegea kama lishoga tu linavyokuwa yaani hata jina la mwamba msimwite tena yaani amekuwa mtu wa kuwafookea msiitukane serikali? hazungumzii katiba mpya tena yaani mmepigwa na kitu kizito
Kulazimisha kubadili uongozi wa chama kisicho chako, inamuwakilisha nani?Hoja gani za mashiko kulazimisha kuingia mpirani na matisheti ya Chadema katiba mpya?
Hata iwe 30..kama wenye chama chao wameona anafaa. WaacheAmekuwa mwenyekiti miaka mingapi?
Nilijua tu lazima lije jibu kama hili.Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?
Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
Unajielewa kweli brother?
Freeman Mbowe ni Mkwe wa Mzee Edwin Mtei
Freeman Aikael Mbowe ameoa mtoto wa kike wa mzee Mtei (muasisi na mmiliki wa CHADEMA)
Sasa hauoni chama ni kama ‘Group la WhatsApp la FaVigogo
Ila vigogo wa CCM kina Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Makamba,Nnauye,Pinda nk kujaza watoto wao chamani na serikalini unaona poa tu!Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Mwehu amezinduka, kaeni chonjo!Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Wewe hukunielewa ebu rudia tena kusoma andiko langu.Unajielewa kweli brother?
Freeman Mbowe ni Mkwe wa Mzee Edwin Mtei
Freeman Aikael Mbowe ameoa mtoto wa kike wa mzee Mtei (muasisi na mmiliki wa CHADEMA)
Sasa hauoni chama ni kama ‘Group la WhatsApp la Familia”?
Hunaonekana hufahamu maana ya demokrasia. Na kama unafahamu naomba ueleze kwa ufahamu wako nini maana ya demokrasiaUnadhani hauna uhakika?
Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka takribani 22 hawezi kutuambia anapigania ‘demokrasia’
Ni demokrasia gani iko CHADEMA?
Kwamba miaka 22 ni Mbowe pekee anayeweza kuwa mwenyekiti?
Katiba ya ccm ina kikomo cha uwenyekiti??MLIBADIRISHA MARA YAMWISHO LINI MWENYEKITI? UNADHANI WOTE WANARIDHIKA NA UONGOZI WA MBOWE ALIYESHINDWA HATA KUJENGA OFISI YA CHAMA?
Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Unaelewa maana ya demokrasia?
CHADEMA kina demokrasia gani?
Kama Mwalimu Nyerere baada ya Uhuru angempa nchi Shemeji yake, kisha akafuatia mkwe wake, watoto wake, ndugu zake leo tungekuwa na Rais Samia kutoka Zanzibar?
Mbowe ni Mkwe wa Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA.
CCM iliyo bara ni CCM ya mwendazake??? Rais na CCM mpya chapeni kazi. Mambo ya CDM waachiwe cdm.Kwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?
Kabla ya kupewa nchi chadema ilipaswa kuwa mfano bora kuanzia uongozi wake yenyewe.
Miaka 30 kwenye siasa huku wakishindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama.
Wanaishia kulipa pango kwa mke wa Anthony Komu?
Na pale waliposhitukiwa ndio chadema imejtahidi kununua ile nyumba ya mbele tu.
Chama cha Baba mkwe amempa mkwe wake Uenyekiti na hataki kubanduka.
Wapi usafi wao!
Je!
Wana tofauti gani na CCM hii ya Wahuni kina Nape?
Pascal Mayalla mbona uko hivyo! Kabla ya kuunga mkono hoja ya Post hii ungeanza kuiangalia CCM kuendeshwa na familia za viongozi kuanzia babu mzaa babu wa baba, mtoto wa baba, mjukuu, kitukuu, bibi, shangazi, mama na dada, wote hawa ni wa familia moja na zimo familia nyingi za aina hiyo, kwa kifupi CCM imejaa majina yale yale ya tangu Uhuru.Wanaukumbi.
CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.
Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.
Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?
Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Chadema si mnasema imekufa!!???Wanaukumbi.