CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Una akili ndogo sana
 
Kikwete rais muislamu ndo aliyekataa hiko kipengele cha dini kisiwepo kwenye sensa ya mwaka 2012
Tatizo la waislamu unafki unawasumbua sana

Sawa kama usemavyo, ila unajuaje kama ni yeye ndie ameamua bila kushinikizwa na upande wa pili!
 
Ndio maana mnakimbia sensa, kumbe mnajua waislamu ni wengi!
Hebu tupe mtawanyiko wa asilimia kimkoa tuone nani ni wengi.
Kanda ya ziwa wengi wakristu
Kanda ya Kaskazini wengi wakristu
Nyanda za juu kusini wengi wakristu.
Kanda ya kati kwa maana ya Dodoma,Kigoma,Tabora na Singida wengi wakristu
Kanda ya Mashariki wengi waislam
 
Mimi nilifikiri una hoja na lema kumbe unashida na ukristo, Mimi nilivyomwelewa lema nikwamba tusimsapoti tu kiongozi eti sababu ni dini yako,hata kama anafanya mambo ya hovyo.
Ila Sasa sisi wafia dini ndo tumepata kagepu kupumulia. Achana na mawazo hayo ndugu ebu tupambane na shida zetu.
 
Huyu mzee achana naye...sisi tumekaa naye humu barazani miaka mingi tunamjua...ni mshari sana kwa mgongo wa dini. Chuki yake kwa CHADEMA haiko kwenye sera wala uongozi...ni swala la dini tuu...
 
Nachosoma Cha mzungu ni 2+2 ni 4, hiyo sio imani Bali ni fact. Usichanganye imani na facts. Gravitational force sio imani Bali ni facts. Hao niliwajibu nimewaambia wasiingize imani zao kwenye siasa kwani hazina scientific proof. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Vyote hivyo amevileta mzungu
 
Vyote hivyo amevileta mzungu
Nikatengenisha facts na imani. Isitoshe niliowajibu ni wanaotaka kuingiza imani kwenye siasa wakidhani wote ni watumwa wa hizo dini. Tazama kichwa za Uzi kinazungumzia nini, kisha ujue msingi wa majibu yangu. Ukihitaji maelezo ya ziada useme.
 
Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam ni kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi huyo wa chama.
Kuna shida gani na kauli hii!!!??? Ukitahadharishwa inakuwa nongwa? Angeweza kutoa hiyo kauli kwa wakristo kama wangekuwa wanamtetea kiongozi kwa vile tu ni Mkristo!!
 
Nikatengenisha facts na imani. Isitoshe niliowajibu ni wanaotaka kuingiza imani kwenye siasa wakidhani wote ni watumwa wa hizo dini. Tazama kichwa za Uzi kinazungumzia nini, kisha ujue msingi wa majibu yangu. Ukihitaji maelezo ya ziada useme.
Usitake kuzunguka mbuyu
Elimu na dini wameleta wazungu
Kama unaona waliofuata dini ni wajinga hata wewe ni mjinga unayefuata elimu iliyoletwa na mzungu

Asilimia 99 ya shule za hapa Tanzania zilikua za wamussionary ambao walioleta dini
 
Usitake kuzunguka mbuyu
Elimu na dini wameleta wazungu
Kama unaona waliofuata dini ni wajinga hata wewe ni mjinga unayefuata elimu iliyoletwa na mzungu

Asilimia 99 ya shule za hapa Tanzania zilikua za wamussionary ambao walioleta dini

Narudia tena, elimu ni facts zinazilindwa na scientific proof, na dini ni imani isiyo na scientific proof zaidi ya kuamini. Nasisitiza, soma kichwa Cha uzi, ujue mjadala ni kuchanganya dini na siasa. Hapa sikupi majibu unayoyataka, nakupa majibu yanayotautisha elimu na dini.
 
Unajipa majibu ya kujifariji
Waliokuletea dini ndo hao hao waliokuletea elimu
Dini pia ni facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…