Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Kwa staili hii ya kuua watu, chadema wakaze na maka**** maana huyo Amsterdam atawadai pesa zake alizowapa kufanyia kampeni, halafu hawatopata ushindi hivyo ataenda kuwauza kwa wanaume zake wengine ili kulipa fedha hizo.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Mumeua watu wenu wenyewe washenzi wakubwa nyie
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Mumeua watu wenu wenyewe washenzi wakubwa nyie
Kwa akili ya kawaida kabisa, anayehamasisha uvunjifu amani kwa kushawishi watu waandamane na anayehubiri amani ni nani ambaye ni genge la kihuni na kigaidi? Chadema kaeni chini mjitafakari, kwa maana uwezo wa kuingoza nchi hii bado hamna.
 
Chadema na Tl hawana uwezo wa kuitoa ccm, hawakuweza huko nyuma wenyewe na sasa hawataweza wenyewe.

Tatizo ni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Vita ya sasa ni ya ccm vs ccm kupitia chadema. Yaani kuna wanaccm wanaiweka chadema madarakani na wanaiwezesha. Na hawa wanauwezo mkubwa sana wa hujuma za kisiasa.
 
Yan kwa mujibu wa Taarifa nilizoanazo huyu jamaa yuko sahihi sana
Mungu tunaemwamini anamuangusha mungu mtu aka jiwe
Nilikuw anaongea na jamaa angu yuko ulinzi serikalini anasema raia huko hakuna anaemwelewa mzee na wanataka kumwangusha vibaya
Ushauri wangu ni kuwa watu wote wawe radhi kulinda kura zao
Mkuu haya maneno mzuri sana Mungu akujalie mkuu ✊🏿
 
Target yako ni watu wasiozidi milioni 4! Kwa hiyo unawaachia CCM milioni 25!
Kwa kifupi hamshindi na huyo Kristo ni wa wote, CHADEMA hamna hati miliki naye.
Nyinyi mkiona mnashindwa ndo mnamkumbuka kristo!
 
Utatuzi ni kumwaga Pombe na kumpa kura yako Mh Lissu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Aisee jamaa muongo wewe sijapata ona. Halafu acha Mara moja tabia ya kumtaja Mungu kuhalalisha uongo wako
 
Aisee jamaa muongo wewe sijapata ona. Halafu acha Mara moja tabia ya kumtaja Mungu kuhalalisha uongo wako

Uongo gani hapo?

Watanzania wamelia mno na mateso ya Farao wa Misri, mimi nikiwemo...

Mungu amesikia kilio chetu. Ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa kupitia "Mwana Adamu - Tundu Lissu"

Kipi cha uongo hapo? Kama wewe huamini, hilo ni tatizo lako....!

Na nisimtaje Mungu kwanini wakati Yehova Mungu wa Israel ndiye baba na Mungu wangu?
 


hakuna sehem kwenye shirika watu wakawa na sauti moja, humans will always be humans!
 
Utatuzi ni kumwaga Pombe na kumpa kura yako Mh Lissu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

hatuwezi kumpa kura mpinzani yoyote kwa sababu bado hamjui kutengeneza ushawishi around people, na hamko serious, ingawa kuna vyama vingine vinakuja kidogo vinaeleweka mfano NCCR-MAGEUZI, atleast wanafanya siasa za kiutu uzima, haya makelele mnapiga jukwaani hayasaidii chochote, izi issues sjui alipigwa risasi hayasaidii chochote maaana mm kama mwananchi nna matatizo yangu pia ambayo ningependa yatatuliwe, sina mda wa kuanza kuskia sjui risasi ilipunyua nywele , as a human tunajua kabisa sio kitu kizuri lakini people die and i also have my own problems, sasa mkiweza kutengeneza utatuzi ambao utatupa faida kura tunawapa! ila so far kwa kweli tegemeeni miaka 100 or forever
 
CHADEMA wanatafuta chokochoko waguswe ili wapate cha kulilia kwa mabeberu wao. Sasa haguswi mtu. Mpelekeeni shuka na Blanketi akae pale pale.
 
Pokeeni heshima hii ya pekee aliyowapa Mungu kupitia mja wake Tundu Lissu ili kuwatoa watu wake kwenye utumwa wa Misri wa zaidi ya miaka 57.

Hili ndilo jukumu alilopewa Tundu Lissu[emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Hahaha ndio naendelea kusoma kitabu cha " How ccm under developed Tanzania for 60 years" by T.A. Lisu.

Page ya pili sasa lakini October 28, naiondoa ccm my decision is final.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…