Wewe ni shabiki kipofu wa fikra na akili na ufahamu wako...
Hujui lolote. Hufahamu chochote. Hakuna anayeweza kupenda mzoga ulio - oza na kunuka unless ulazimishwe kwa mtutu wa bunduki...
Labda naweza kukubaliana na wewe kitu kimoja katika haya uliyoandika...
Kwamba, kuitoa CCM madarakani, ili iachie dola ni purukushani, patashika na nguo kuchanika inayoambatana na vurumai na hata umwagaji damu na anguko kuu la kiuchumi....
That's very correct, I agree with you...
Hata ukombozi wa wana wa Israel toka Misri ilikuwa ni vita hatari yenye kila aina ya purukushani, patashika na nguo kuchanika ikiambatana na umwagaji damu....
Lakini mwisho wa siku, pigo moja na la mwisho lilimmaliza adui - Farao for good...!
Hata hawa CCM na Magufuli wao, watarusha mikono na miguu huku na huko na kujitumainisha kuwa bado wanapendwa, na kutumia wachawi na wanajimu wote, lakini mwisho wa siku watanyoosha maneno na kulazimishwa ku - surrender na hali halisi....
Mungu muumba akiwa kazini mwenyewe kuongoza vita kuokoa watu wake, KAMWE HAJAWAHI KUSHINDWA...!!