Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu huyu huyu mliemkejeli wakati wa corona?Kama Mungu aishivyo na roho yake iishivyo....haya ndio ninayoyatamani na kuyaona
Kwa hiyo sasa hivi wenye tume wako upande wa Lisu?Meko anatukana tu wale wenye tume yao maana wamepigwa chenga ya mwili na walimuhakikishia mwamba atanasa kwenye mtego. Sa sijui itakuwaje! Patamu hapo!
Vipi kibaraka atashinda kwahiyo?Anza kufatilia passport mapema.
Hata wasafi media ina raisLissu ni Rais.
Andaa virago dadaHuyo kibaraka wa mabeberu akishinda mi nahama nchi
Huwa umekunywa Nini ukiwa unaandikaa hahahaaManeno kuntu sana. Nimewahi sema hapa na leo nasema tena. Hakuna namna Magufuli atashinda uchaguzi wa mwaka huu! Hakuna
Unataka kusema kibaraka atashinda?Andaa virago dada
kwanini usifungue uzi ukajadili hilo siyo kuleta tu ujuaji hapaLaiti ungeomba CHADEMA ikiingia madarakani ishughilikie mageuzi ya kiuchumi ili kutokomeza maadui watatu (umaskini, maradhi na ujinga) maombi yako yangesikilizwa.
Kwakuwa hamjui hao ndio maadui wakubwa wa Watanzania, usingeomba uhuru wakati ni uhuru na haki waliyo nayo wataenda kupiga kura. Uhuru na haki waliyo nayo wagombea ndio wanatumia kufanya kampeni. Uhuru na haki uliyo nayo ndio umetumia kuleta bandiko hilo.
Unajitambua kweli kushabikia CHADEMA chenye viongozi wenye kila sifa ya uovu, ili wakabidhiwe nchi?
Na safari hii Lisu anaenda kutoa ahadi ya kuwatoa Mashehe wote siku akiapishwa tu hapo ndipo mtaona kura zinapo ongezeka Lowasa alisema atamtoa Babu Seya sasa Lisu atawatoa Mashehe2015 tuliambiwa mfumo mzima upo upande wa EL
Na chama cha Jiwe alocho kipora itakuwaje 28OctoberChama cha Mbowe, kinakwenda kuangukia pua Oct 28. Hima watanzania, tujitokeze kutoa fundisho la karne kwenye hii saccos ya mzee wa faru John. Mtu mwenye akili timamu hawezi chagua Chadema labla kama kashapata faru tayari.
Hao mawakala waangalie jinsi yakuwafikisha vituoni wasijetekwa manake hawa viumbe majani ni wazito kweli kweliMungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.
Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa.
Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la kushindwa.
CHADEMA na Tundu Lissu ni zana tu za ukombozi wa nchi hii anazotumia Mungu. Lakini ukweli ni kuwa yeye mwenyewe Kristo simba wa Yuda yuko kazini anaokoa!
Adui ameshaona na amenusa kushindwa kwake. Yuko so desparate.
CCM na Magufuli ni kama simba aungurumae kumtafuta yeyote aliyekaa kihasara na mwenye hofu ili amle.
Lakini kiukweli ni kuwa, CCM na Magufuli wala siyo simba bali wanaigiza usimba.
Kama hujagundua kuwa unachosikia sio sauti ya simba, bali ni ya kumuigiza simba, basi unaweza kuanza kutimua mbio kumkimbia simba - mbuzi.
Sisi tuko serikalini. Ni wazalendo katika kambi ya adui. Tunawahakikishia kuwa adui kwa ndani ameshakwisha habari yake. Mnavyomwona kwa nje ni fabrication tu, MSIOGOPE. Songeni mbele!
Mungu yuko pamoja nanyi. Sisi huku tunawapa habari zote kwa kadiri tunavyozipata na zilivyo. Tu wadogo sana, lakini tunajua kila kitu.
Mna siku zisizozidi 23 kuanzia leo ku - revisit mikakati yenu ya ushindi. Nawahakikishia tena robo tatu (3/4) ya machinery za kidola zinawaunga mkono tukiwemo 99% ya watumishi wa umma.
Tuko upande wenu. Nasi tunahitaji kuwa huru. Tuko tayari kusaidia kumwangusha Farao wa Misri iwe kwa kutaka ama bila kutàka.
Mpango mzima uko kwenye vituo vya kupigia kura. Angazieni uko. Mikakati na nguvu zote zielekezwe huko. Ishu haiko kwenye kampeni na nyomi.
Tundu Lissu hata asipofanya kampeni, anashinda unless mshindwe kuweka mikakati thabiti kwenye vituo vya kupigia kura.
Njooni na mkakati wa kudhibiti kura za kila kituo cha kupigia kura ili kuhakikisha kuwa kura zinakuwa halisi zilezile zilizopigwa.
Hakikisheni mnaweka mawakala kila kituo, wanaapishwa kwa wakati, wanaingia vituoni na wanapata nakala ya matokeo kwa kila kituo cha kupigia kura.
Msifikiri sana kuhusu fedha kwa sababu fedha haiwezi na haijawahi kufanya kila kitu kwa mwanadamu.
Tazameni, wao wana fedha nyingi kuliko maelezo. Lakini mbona haziwapatii upendo na kila kitu wanachokihitaji? Fedha kwao imeleta uhasama na mgawanyiko kuliko kufikia lengo lao.
Wekezeni kwenye kile watu wanachohitaji. Watu wako tayari kwenda kwenye vituo kuwa mawakala wenu hata bila malipo ili mradi waufikie ukombozi wao.
Watu wamechoka. Watu hawako huru. Watu wamefungwa na wako gerezani. Watu wanahitaji kufunguliwa.
Mungu mwenyewe yuko kazini kujibu kilio cha watu.
Pokeeni heshima hii ya pekee aliyowapa Mungu kupitia mja wake Tundu Lissu ili kuwatoa watu wake kwenye utumwa wa Misri wa zaidi ya miaka 57.
Hili ndilo jukumu alilopewa Tundu Lissu.
Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo CCM lazima ianguke mwaka huu.Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.

Utapata majibu mwezi November mwaka huu Jiwe akiwa anahaha vyombo vya dola vimlinde baada ya kupigwa vibaya kwenye sanduku la kura la LissuHuwa umekunywa Nini ukiwa unaandikaa hahahaa
Amina kwa Jina la YesuKama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo CCM lazima ianguke mwaka huu.
BAVICHA MLICHOBAKISHA NI KUJIFARIJI MBONA HAMJAINGIA BARARANI KAMA TL AMEONEWA HAHAHHA MLIKUWA MNATAMBA HUMU OOH WAMFUNGIE WAONE YAKO WAPIUtapata majibu mwezi November mwaka huu Jiwe akiwa anahaha vyombo vya dola vimlinde baada ya kupigwa vibaya kwenye sanduku la kura la Lissu