Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Laiti ungeomba CHADEMA ikiingia madarakani ishughilikie mageuzi ya kiuchumi ili kutokomeza maadui watatu (umaskini, maradhi na ujinga) maombi yako yangesikilizwa.

Kwakuwa hamjui hao ndio maadui wakubwa wa Watanzania, usingeomba uhuru wakati ni uhuru na haki waliyo nayo wataenda kupiga kura. Uhuru na haki waliyo nayo wagombea ndio wanatumia kufanya kampeni. Uhuru na haki uliyo nayo ndio umetumia kuleta bandiko hilo.

Unajitambua kweli kushabikia CHADEMA chenye viongozi wenye kila sifa ya uovu, ili wakabidhiwe nchi?
Kwa iyo kumbe unakiri CCM mmeshindwa kuwateketeza maadui wakati ujinga, maradhi na umasikini??? Safi sana!!
 
Habari ya Tanzania sasaivi ni Uhuru, haki ná Maendeleo ya watu

mmebadilisha tena? sema we jamaa unajitolea sana kwa chadema! inafaa uwe recognized na cheo hapo ufipa maaana umekua mstari wa mbele sana kwenye ishue znahusiana na chadema ingawa znakuaga pumba
 
A very good job ya kusababisha umasikini kwa wakulima kuwakataza kuuza mazao yao sehemu wanazotaka huku nyie mkienda kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa chato kwa kodi za watanzania ??

kwan chato ni congo ama
 
mmebadilisha tena? sema we jamaa unajitolea sana kwa chadema! inafaa uwe recognized na cheo hapo ufipa maaana umekua mstari wa mbele sana kwenye ishue znahusiana na chadema ingawa znakuaga pumba
Wewe hujui sera ya Chadema mwaka huu??

😂😂😂😂😂 Mkuu mie sitaki cheo wala nafasi Chadema hata Lissu akiwa Raisi. Natumia karama aliyonibarikia Mungu katika kusimamia ukweli na haki tu.

Tanzania yenye maendeleo ya kweli ya watu na vitu inawezekana endapo tutakuwa na mtu sahihi kwenye nafasi ya juu ya uongozi. Na dhamira yangu inaamini Lissu ni mtu sahihi tuliyenae kwenye uchaguzi huu!!
 
kwahio ukaona lissu akiwa raisi, mbowe waziri mkuu, lema waziri wa fedha, halima mdee waziri wa afya nchi itaenda swwa?
 
Tumeshafika, adui Yuko mbendembende anamtegemea Diamond na Zuchu ndio watu wasogee Kwa dakika chache kwenye mikutano yake.Ilibaki Tume Tu nayo tunaikusanyia ushahidi. Kama alivyotabiri Polepole CCM ni wepesi kama ubua
 
sawa basi tusubiri tuone huo ubua
 
we jamaa una msimamo sana . sema sehem ulipoweka msimamo wako sio kabisa
Hahahaha hapana comrade. Nipo sehemu sahihi kabisa. CCM inatakiwa kubadirika sana na haiwezi kubadirika bila kuwekwa pembeni angalau hata miaka 5-10.
 
Miaka 60 bado wanawatisha watu kutowapelekea maji wasipowachaguwa
 
Back
Top Bottom