CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Tumeamua wenyewe kuchangia wala hakuna mwananchi aliyelazimishwa kutoa mchango.
Hilo la kuhusu kipato chao halihusiani na faini ya kesi ya kubebeshwa
Hivi kwa mfano unapokwenda msibani ambapo aliyefiwa ni tajiri utaacha kutoa mchango wa rambirambi eti kwa sababu unayemchangia rambirambi ni tajiri kuliko wewe?
Sometimes tuwe na ubinadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapo umenena ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mada ya kesi ya Akwilina hapa haipo. Isipokuwa maelezo yaliyopo hapa ni kwamba hali ile ilisababisha kuuwawa kwa mtu anayeitwa Akwilina. Siwezi sema Akwilina alikufa maana sina ripoti ya daktari inayothibitisha hilo. Suala la Akwilina siwezi kulizungumzia na siligusii kabisa." Dotto Rangimoto on Twitter

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Unaesema chadema kuchangisha wananchi na kushangaaa basi rudi kwa wenzako wa Ccm nao huko wanachanga kumtoa mwenzao mashinji halafu ndio urudi huku ubadili uzi usomeke hivi, Ccm na chadema kuchangisha wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ,ila aliyemwua akwilina anajulikana. Uwongo acha uingii peponi na CCM ila nafsi yako acha kuwasengizia wenzio uwongo .
 
Cha kushangaza mpokea michango pamoja na MUKYA yupo.

Jamaa noma yupo SEGEREA ila kudhibiti michango kamuweka KIMADAAA.

Kweli wajinga waliwao
 
Watu wanachanga ili kumwaibisha ibilisi wenu hakuna kitu wanashindwa wananchi utalazimishaje kupendwa kwa kuwafunga kuwaua kuwabambikia kesi kuwateka wananchi wako sasa tunamwonyesha huyo mfalme J kuwa hatumpendi hata kidogo
 
Ni kweli wale wote wanauwezo wa kujilipia hizo faini lakini tumeamua kuchangishana kama ishara ya mshikamano wetu, kutuma ujumbe mzito kwa madhalimu kuwa Chadema ni jeshi kubwa na pia kuonyesha hasira zetu kwa Mahakama zetu kutumika kuunyonga upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…