CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.

Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu yakizidi,pata ushauri wa daktari!Hhahahahaaaa,mmepigwa butwaa kwani hamkutegemea kama wananchi wangejitoa kiasi hicho kuchangia,mlibweteka na maigizo ya Jiwe ya kununua upinzani mkadhani ndio kuwanunua wananchi,shame!
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tumeamua kuchangia ili kuionyesha Lumumba kuwa Chadema inakufa hivi punde, si unaona wanachama na wapenzi wa Chadema wamegoma kuchangia, hadi muda huu hakuna hata shilingi iliyochangwa.
 
Ushindi kwenye siasa ni too Involve and win the public, na dhulma inapotendeka, the best policy ni kutumia public power ku enforce the pain kuwafikia wote na wauone huo uonevu.

Kwa sisi wana CCM mbona tunapiga tarumbeta za kila aina viongozi wanapotekeleza majukumu yao, na hatusemi hiyo ndio kazi tuliyowapa na ni wajibu wenu kutekeleza na msongoje sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mkuu wa kaya wakati fulani alijitoa kumlipia mtu pale Muhimbili halafu baada ya muda mfupi watu wakaanza kumchangia.

Ile pesa ilikuwa ndogo sana kulinganisha na anachokipata na isitoshe ile ni hospitali ya kaya huku yeye akiwa mkuu wa hiyo kaya.. Hilo wewe hukuliona.

Watu wanapowachangia wenzao kwenye majanga haimaanishi kuwa wahusika wote hawana uwezo, bali ni kitendo kinachoonyesha upendo na ushirikiano wao kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la hiyari wewe linakupa shida gani? Wewe huchangii lakini unaonesha kuumia kana kwamba umelazimishwa kufanya usicho kitaka. Hata Mungu halazimishi watu kumfuata ndiyo maana akaruhusu Sheitwani awepo ili wasiomkubali yeye Mungu wanaotaka kumfuata Sheitwani waende huko. Kupanga ni kuchagua.

Mnaishi kuwaombea wenzenu mabaya bila kujua mnajichumia laani kwa kizazi chenu. Kabla hujafa hujaumbika mkuu. Hata Lugola alitamba hivyo hivyo lakini leo ni mtuhumiwa. Luqman mohamedy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umelazimishwa kuchangia?
Hili ni jambo la hiari, kama unaona kwako si sawa kuchangia, basi tulia tu. Nchi yenyewe pamoja na kuwa na rasilimalizote, bado wanaomba misaada, kwako hili hulioni, unasumbuliwa na mchango wa 350m.
Hata boss wako anashikaga kibakuli kuchangisha less than 30 millions.
 
Watu wanachanga kuonesha kutokukubaliana na hukumu..! Ni ushenzi na upuuzi ukileta ujinga na kuwaza kitahira watu kuchanga ni kutuma ujumbe kwa maimura.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Bigmind, this is not for you. It's for smallmind Stroke. Samahani sana. Nimeunganisha kwenye jibu lako.
Stroke haijamwacha salama. Juzi serikali imekiri haijawalipa baadhi ya wakulima wa korosho. Hao wasolipwa walitangaza( kama kweli) kwa hela yao ( sijui toka wapi) kumchukulia fomu Jiwe kugombea urais! Hakutia neno. Leo ameguswa na wanyongwa ambao Pole×2 anataka wamchangie Mashiji? Ameoza sio kupooza tu. Pathetic.
 
Back
Top Bottom