CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Vyovyote vile lakini wanahitaji huduma ya haraka kumbuka wako gerezani 'you have to think outside the box not to live with assumptions'
Hivi chaguo la kutumikia hadhabu kwa kulipa faini au kufungwa linachukua muda gani?
 
Maumivu utayajua tu..
Polepole na wengineo hawakutarajia hii hukumu itakuwa mwiba mbaya kisiasa kwa upande wao.. Hii kesi haijafanikiwa kuwakomoa viongozi wa CHADEMA kama ilivyotarajiwa, bali imewanyanyua kisiasa, na zaidi imeongeza tope zito kwa namna tunavyotazamwa na Jamii ya Kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200310-231006.png
 
Unashangaza lakini
Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu. Zaburi 108:13

Chadema wamezoea mateso na hawaja shangazwa na jambo hili. Kwa maana ateswae

Moyo wake umethibitika hataogopa, Hata awaone watesi wake wameshindwa. Zaburi 112:8

Ipo siku enyi wauaji mtaisha kabisa.
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kesi yenu ya kuwatengenezea wapinzani ili kuwakomoa ndio fedheha in the first place.
Usipindishe ukweli.
Wananchi kushirikishwa kuchangia na jinsi wanavyojitoa kuchangia ni message kwa watawala,ambayo inawapeni ninyi lumumba camp fedheha zaidi.
So sikushangai unalalamika hapa,endelea kutapika,uchungu upungue,dawa imeingia kwelikweli.
 
ilo neno wanyonge toa mshamba wewe ujaomwa wala ujalazimishwa
 
Shetani wewe
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatumlazimishi mtu hatupangiwi na mtu Tumependa wenyewe Tuacheni tuhangaike wenyewe. Chadema siyo mali ya Viongozi bali ni ya wae wote wapenda mabadiliko. Hata wewe siku ukijitambua tutakukaribisha tuijenge Demokrasia ya Kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani watu wafanye vitu kwa pesa yao kwa jasho lao kwa furaha yao alafu kuna ngedere wapo concerned kwa niaba....fanya yanayokuhusu
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa vile wameshtakiwa kwa kosa la kufanya shughuli za wanachama/wapenzi/ na wapenda haki wa CHADEMA na watanzania wote hivyo ni sahihi kabisa hata kama wangekuwa na Trillion 1 ni muhimu kuwashirikisha wananchi ili kuwapa haki yao ya kushiriki katika maamuzi ya chama katika mchango wowote ule. Uwe wa kuombewa, ushauri wa mali n.k.

Hivyo safari hii mchango unaotakiwa ni wa mali. Kumbuka Msikiti au Kanisa halijengwi na mtu mmoja hata kama anafedha kamili ya ujenzi. Hii ni zaidi ya kuwa na pesa. Tafakari!!!!!!

Hata hivyo asante kwa mchango wako, lakini ilitosha kuwa mchango ndani ya THREAD KUU NA SIO KUIFUNGULIA THREAD YAKE.
 
Wafanyabiashara Ndogondogo wa Sokoni Mabibo wametuma Mbele yangu kiasi cha Tsh 400,000 (Laki Nne)

Ndugu mteja umefanikiwa kutuma TZS:400000 kutoka AC:0152300699100 kwenda AC:01J1080100600 Tarehe:2020-03-11 11:32:53 REF:FA00719155734412

Naweza Kuja Popote Kufuata au Kushushudia Boniface Jacob on Twitter

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni kiwango kidogo sana cha akili. Mbowe hakufanya kosa binafsi Ila katika kutekeleza majukumu ya chama na kukipigania watawala wamembambikia kesi. Unataka akauze ng'ombe au gari lake ajilipie faini? Hivyo hivyo kwa Mnyika, Heche, Mdee, Matiko nk.

Hawapaswi kulipa hata silingi kumi yao maana walikuwa kazini na kazi yao NZURI ndiyo imezaa taabu na mashaka hayo.

Sasa Chadema kama chama, na wafuasi wake waone taabu na mateso wayapatayo wakiwa kaziñi kisha na kulipa walipe hata akiba ya familia zao?

Chadema sio chama cha kijinga kufananisha na hicho chenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo kodi zote tunazo changia serikalini zinafanya nini,swala hill la kuchangia majimbo yaliyo telekezwa yametelekezwa na nani kama si hao walipwa kodi? Ndugu acha unafiki.
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie endeleeni kulishana sumu tu sisi tunaonyesha upendo na mshikamano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom