CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Luqman mohamedy,
Kwanza husika na mafanikio ya hukumu. Pili mambo ya michango hayakuhusu.Tatu hadi napost milioni 136 zimekwisha changwa.

Wewe endeleza ujinga tu maana una faida kwenu .
 
Duh vijana wa Kitanzania tuna vituko sana, dhana ya kuchangia si kwamba mtu hawez, hebu chukulia mfamo fomu ya kugombea nafsi ya u Rais inagharimu shilingi milion moja...mgombea wa nafasi hiyo anaamua kuzunguka nchi nzima kuchangiwa milion moja ili aweze kuchukua fomu hiyo, je, unadhani huyo mgombea anakuwa amekosa milion moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa ni moyo,sio kila anayechangiwa ankuwa hana uwezo wa kifedha,ndio maana kuna watu tayari wameshatangaza kumchangia Magufuri fedha za kuchukua fomu za kugombea urais wakati yeye ana uwezo kiwazidi.
Aidha kuna watu wanachangiwa michango ya sherehe mbalimbali na misiba ilihali wao wana uwezo wakugharimikia shughuri husika bila kuhitaji mchango wa mtu yeyote.
Hapa ni mshikamano na watu wanachanga kwa hiari bila shurti wa shinikizo yoyote,kwa hiyo hakuna fedheha na fedha itapatikana muda si mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ale kwani umechanga wewe, nasikia hizi ndizo mnawapelekea wale madiwani was Mbeya waliomua kuunga mkono juhudii za mkono wa chuma 😀,
Basi sawa sina la kusema kabisa kama tumuache MUKYA ale tu 🤣🤣
 
You may have a point.

Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.

Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Mbona humlaumu anayewanyang'anya if that is a case! Unamfahamu aliyesababisha yote haya mbona humsemi? waache wananchi watumie visenti vyao kunogesha PR ya Chadema. Mmewazuia miaka mitano sasa kufanya siasa, lakini leo mmejikaanga wenyewe kwa kuwafanyia mkakati muovu wa kuwabumbia kesi isiyokuwepo mkidhani mnawakomoa, kumbe mnawatengenezea communication strategy ambayo na bajeti yake mmeitengeneza wenyewe kuwa ya milioni 350. Kwa taarifa yako communication & PR strategy hii ambayo Chadema pengine wangelipa zaidi ya hizi hela, itawa cost sana CCM. na hapo ndipo utajua kuwa kumbe akili ni nywele!
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujalazimishwa kuchangia na pesa yako unaweza kuipeleka popote unapotaka. CCM mkoa flani wameona ni busara kumchangia mmoja wa waliohukumiwa kwa hiyo sioni maana ya wewe kupigA kelele na kisichokuhusu. Namna ya kuchangia umepewa kama unaguswa tupiamo kama haujaguswa sepa nenda zako kwani nnini sasa alaaaaaaaa
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha wivu, maumivi yakikuzidi mwone dakitari
 
Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.

Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
nguvu ya uma imewafanya mufikiri tofauti chezea nguvu ya uma wewe,magu c ana dola atanyooka tu CHADEMA haitopotea
 
Nchi imerudi Nyuma zaid ya kipindi cha wakoloni, pesa nyiiingi zinatumika kunyamazisha watu pesa nyingi imewekezwa kufunga watu midomo, kufunga vyombo vya habari midomo, pesa nyingi inatumika kufanya biashara ya binadamu, na cheo ili upate unatakiwa utumie nguvu ya kusifia au kutukana upande wa pili kiukweli tumeingiliwa na Kwa kuwa wametambua kuwa hawakubaliki wanatumia garama ili kwenye Uchaguzi watu wasiende kupiga kura huku wanahamasishana wao kwa wao kwa kipita nyumba kwa nyumba Na kuandikisha watu haadi namba Ya Kadi Ya kupigia kura na Simu yako

Sent using Jamii Forums mobile app

sasa jiulize nguvu zote hiz za nini ? kama unataka madaraka ukiyapata kwanini usiwatumikie wananchi wanavyotaka ili uchaguz ujao wakuchague wenyewe kwa hiari yao , hii nchi ina mambo ya ******* mengi sana aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakufanya hayo waliyotiwa hatiani kama watu binafsi bali kama Wawakilishi wa Wapiga Kura wao. Kwahiyo hiyo kuuza mali zao ili kulipa faini haitawatendea haki.
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe anakikopeshaga Chama mpaka bilioni 2 na anarudishiwa kutoka kwenye ruzuku. Sasa amefeli wapi au ndo mbinu ya kutakatisha fedha/Money Laundering.
 
Nadhani ungeshangaa zaidi mtu unapotaka kuoa kwa maslahi yako na umejiandaa vyema lakni bado unachangisha marafiki. Kuchangishana ni dhana ya kuonesha kuwa tuko pamoja. Siyo kipimo cha kutomudu.
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela CHADEMA kama chama ni kiduchu sana hawawezi kukosa. Mbali na hivyo wahusika wote kwenye hukumu hiyo ni vigogo ambao hata kama wangehukumiwa kulipa mil 100 kila mmoja, bado wasingeshindwa kulipa kutoka kwenye mifuko yao. Wanachojaribu kufanya sasa hivi ni kutafuta hela ya ku-top-up, ambacho ni kitu chema pia,msaada wa baraka kuotka kwenye public. Hivi hizi hela ndiyo zinaweza kuwa ni malipo kwa familia ya Akwilina au ni za Serikali moja kwa moja?
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile lakini wanahitaji huduma ya haraka kumbuka wako gerezani 'you have to think outside the box not to live with assumptions'
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi hebu jiulize: Serikali haishindwi kugharamia mafuta ya ile koroboi inayozunguka nchi nzima (Mwenge). Mbona watu hata wanyonge wanachangishwa na wengine hata kuku zao kushikwa kwa ajili ya kuchangia mafuta ya Mwenge?. Michango hii ni hiari. Hakuna anayelazimishwa kutoa. Inakuuma nini?
 
Back
Top Bottom