CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Lazima wabaki na akiba, sababu kesi zina andaliwa kila siku ili kukiua chama.
 
LUQMANN ni roho mbaya kuuliza kwa nini mtu mmoja anajitoa kumchangia mwenzie ambaye ni wazi wewe humpendi mchangiwaji!NENO NI HILI wachangaji siyo wajinga na wachangiwaji siyo maskini wala WEWE huna akili sana ujue ni kwamba umefuta ujinga tu,na unahitaji kusoma zaidi na zaidi.
 
Hawa wanakubali kunyang'anywa kwa hiari yao. Na mnaowanyang'anya kwa lazima ni wangapi?
You may have a point.

Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.

Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hushangai mapenzi yako kwa SIMBA au YANGA. Ni hivyo hivyo pia. Waache wafu wazike wafu wao. Lisilokuhusu lisikushughulishe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwa na reason na logic siyo mapenzi au hisia zangu. Wangekuwa wachache ningekaa kimya lakini jamii yetu imejaa wafuata upepo hadi inatisha sasa.
 
Umeingiwa na uwendawazimu? Kwani wamekuomba?

Wananchi ndio walioamua kuwachangia. Wewe unaumwa na nini? Hawajakuomba na wala hawahitaji mchango wako. Wananchi wameamua kuwachangia kwa sababu yaliyowasababishia wafikie hapo hayakuwa mambo yao binafsi.

Mwombe Mungu ujaliwe hekima japo kidogo sana.
 
Kwani CCM Dar waliposema watachanga na kumchukulia fomu ya kugombea JPM unadhani JPM hana hiyo pesa ya fomu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIII.MICHANGI YAKIJINGA MNGELIPA MADIWANI PESA ZAO WASINGEONDOKA POLN SANA POLE KAKA SUGU MBEYA UTOKI MWAKA HUU LABDA USHINDE JACKPOT
 
Wacha tumchangie kiongozi wetu.
Na wewe hukulazimishwa, unaweza kusepa
chama hakikuhusu
 
Ni dhahiri kabisa kwa Uwezo Wao Watuhumiwa hiyo Faini wanaza kulipa,Lakini walicho lenga siyo Kuomba Msaada bali kuonesha uminywaji wa haki ili dunia ijue.Wanatafuta Uhuruma ya Umma,Zingatia Siasa ni HESABU mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hawajakosea au umesahau kuwa huu ndiyo mwaka wenyewe??? Huruma ya watu utaipataje kama hutumii fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…