Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani hizo kesi walizipata wakiwa njiani wakipeleka watoto wao shuleni au wakipigania haki na demokrasia kwa ajili yetu watuwakilishao?Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jembe hilo Kama mdee hatari [emoji91][emoji120]Ndio maana anamafanikio siyo wale wasanii wanafikiView attachment 1384367
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unateseka?mie sio mchaga ila nimechanga[emoji120]Wala hawajachangiwa na wananchi zaidi ya kuchangiwa na kabila lao kwa misingi ile ile ya ukabila na si wanachama kama wanavyojinasibu. Jana wachaga wote Nchi nzima usiku kucha wamekesha wakichanga hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurejea maneno yangu niliyokuambia,Tayari umedhibitisha kiwango chako!Kuna wakati nilikuweka kundi LA wenye akili JF lakini baada ya kukusoma kwa makini nilihadaika na username yako (Judging a book by its cover).
Kumbe katika mapoyoyo 50 JF wewe ni miongoni mwa vinara.
Pole sana, jitahidi kujifunza kwa kusoma sana na kuandika kidogo
You may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Unayasema aya ukiwa jela au uko wapi?? Paka jike weeSiamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Nafikiri ‘public sympathy ‘ inaweza kuwa sababu lakini ni ndogo! Sababu kubwa ni ‘kuwazodoa’ wapinzani wao wa jadi! Lengo la mahakama kutoa hukumu ile ni kuwa fanya washitakiwa wajutie makosa yao, na pia iwe mfamo kwa wengine, ili wasitende makosa kama yale! Lengo ni kuwakomesha!! Sasa wao wamejibu mapigo, kwamba mamilioni tunayo lakini wanyonge wanauza mayai wanatukomboa!! Ukiangalia ‘katikati ya mistari’, utagundua kwamba jamaa ‘wamepiga’!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hawajachangiwa na wananchi zaidi ya kuchangiwa na kabila lao kwa misingi ile ile ya ukabila na si wanachama kama wanavyojinasibu. Jana wachaga wote Nchi nzima usiku kucha wamekesha wakichanga hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna mtu analazimishwa kuchangia mkuu !?You may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Nimesikia Mashinji amechangiwa na Wanachama wa CCM milioni 30 hii imekaaje ??@luqman mohamedySiamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.Wala hawajachangiwa na wananchi zaidi ya kuchangiwa na kabila lao kwa misingi ile ile ya ukabila na si wanachama kama wanavyojinasibu. Jana wachaga wote Nchi nzima usiku kucha wamekesha wakichanga hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki na mudy akupe furaha rohoni,sisi mpka mda huu hesabu inasoma 270m.Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpuuzi kweli. Kuwa mchaga ni dhambi ?! . Acha watu wachange, nyie mlishamaliza kazi ya kuwahukumu .Wala hawajachangiwa na wananchi zaidi ya kuchangiwa na kabila lao kwa misingi ile ile ya ukabila na si wanachama kama wanavyojinasibu. Jana wachaga wote Nchi nzima usiku kucha wamekesha wakichanga hela.
Sent using Jamii Forums mobile app