Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Waliitwa kupewa maagizo ya kusimamia utendaji kazi wa Ccm. Ili ilani ya Ccm itekelezwe vizuri.
Aaah Ila yaliyotokea kila sehemu yalifanana,kuzikimbia ofisi,kutopokea fomu,kuwapokonya mawakala wa upinzani fomu, kuwafukuza mawakala wa upinzani.
Hivi chama kinachobebwa na polisi badala ya hoja utasema vipi ni chama pendwa.Mnakubalika au mnalazimisha kukubalika
 
Kama hayo yakitokea nini kinatakiwa kufanywa? Kususia uchaguzi au kwenda mahakamani?
 
Miaka 50 Nchi haina maendeleo wakati ina rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kama siyo CCM leo Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa na hata Oman
Wewe una miaka mingapi ili tujue kama hiyo miaka 50 iliyopita ulikuwepo!
 
Pamoja na hii story, bado jamaa hakujifunza kupambana ila akaamua achague njia rahisi.

Kweli wanaume tunatembea na Mengi. Hata leo chadema wakijua Lissu,Mbowe & co ni CCM na wanaposho zao huko watatawnyika kwa mshituko.

Ama CCM wakajiua Magufuli ni Chadema aliyepo CCM hawata amini.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Kama ni kweli,tumuogope Mungu.Kuna leo na kesho.Upinzani hauwanyimi usingizi wananchi.
Kinachowanyima usingizi ni ufukara.
 
Chama kikifutwa imani, msimamo, mirengo na mitazamo inabaki palepale hakuna mpenzi, shabiki na mwanachama wa Chadema atafutuka kisa chama kimefutwa. Huo utakua wendawazimu kujidanganya kuwa kukufuta Chadema kutamaliza upinzani ni bigNO.
 
Ccm ni janga na jiwe wao futa umasikini kwanza vianda viko wapi
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Kwa hali iliyonayo Chadema unaifuta ili iweje? Ni sawa na mgonjwa yupo ICU halafu unasema madaktari wanataka kumuua, wakati unaona kabisa wakati wowote anaweza kujifia mwenyewe.
 
Muiteni Dr. Mauki aje asome Jf sio anakurupuka tu kupost utoporo huko Twitter
 
Ikiwezekana kifutwe tu ni uchafu tu unaoendelea humo Sacco's ya DJ makengeza kula michango ya wabunge kuzini na viti maalumu wabunge wawili wa kike wanasagana laana juu ya laana
Kwa ujinga wako unaona DJ ni tusi? Sasa Mbona huyo DJ ndiyo inatumika pesa nyingi gharama kubwa kumdhoofisha? Madagaskar Rais wao alikuwa DJ na sasa kawa wa kwanza kugundua dawa ya corona, UDJ ni kazi ya burudani upendo siyo ujambazi, hata wabunge maprofesa wa CCM huzidiwa hoja na wabunge darasa la saba akina musukuma, kibajaji na wenzao wenye Elimu ya kawaida tu, na kama ni uchafu saccos acheni wananchi ndiyo waamue wenyewe acheni kutumia mabilioni ya walipa kodi kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi.
 
Chadema ilishajifuta yenyewe tayari October wakipata hata mbunge mmoja wakatambike!
Kwa kuwa mpiga kura hasaminiwi Tz inawezekana kabisa Chadema kupewa kura zero na Tume ya uchaguzi.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Hakuna wa kuifuta CHADEMA. Kama kuna ufisadi au rushwa wataadhibiwa wahusika na wala sio taasisi CHADEMA. Ila inasikitisha CHADEMA watajitoa uchaguzi mkuu kwa kuogopa aibu ya kushindwa vibaya japo watatoa sababu nyingine na kuwaomba vyama vingine vijitoe japo sio vyote vitakavyokubali
 
Wewe ndio mjinga unaona udj ni tusi udj ndio fani yake professional, mbowe hana stara amekuwa mzinzi wa kutupwa viti maalumu ndio chakula Chake bila kufikiria Wana waume zao wengine ni viongozi humo Sacco's haitoshi usagaji umetamalaki Kama sio uchafu ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…