liberatormuhewa
Member
- Nov 5, 2019
- 51
- 53
No one can destroy peoples' power. No hate no fear .Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Serikali ya kidikteta liniikafuata Sheria Hon Zitto?Kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Jitekenye huku ukikenua kama duanziChadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Endeleeni kuota hapo Lumumba,huku kiranja wenu akitumia hila,ili chadema kifutike.Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
Safi sana heri ifutwe tu, yani heri ya koona kuliko Chadema by plpl, yani serikali inashindwa kupambana na koona kwa sababu ya CDM, futilia mbali kabisa!!Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Nashukuru sana kama mnaujua ukweli. Lakini Kumbuka hata CCM hapa ilipofika ilitumika nguvu kubwa sana kuibadilisha. Ni vigumu sana kubadilisha mazoea na imani ya mtu ambayo ameiwekeza sehemu kwa miaka, halfu utake kuibadilisha kwa siku moja. Ila taratibu tutaelewana tu.
Hata wewe hujitambui ni kutokana tu tonge lipo upande wako.Kawadanganye wanachadema wenzako wasiojitambua
Hawa ndo walamba hela ya jiwe isiyo na uchungu kwa kumpa matumaini hewa ngojea OctoberNdiyo lakini CCM imeshindwa kuhama!
Eti kina Lipumba, Cheyo, Mrema ndio viongozi wa vyama vya upinzani!
Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
Kamdanganye Polepole! Hujui kaa kimya.Tofautisha Auditing na Forensic Investigation! Auditing anaangalia utaratibu kama umefuatwa ama la wakati Forensic Investigation wanaangalia fraud kama imefanyika.
Mjinga weweHuyo mwenye nia hiyo ovu ni lazima atakuwa Jiwe.......
Kwa kuwa alitangaza hadharani wakati anaingia madarakani mwaka 2015, kuwa ni lazima ataifuta Chadema, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020......
Amefanya kila mbinu chafu na ovu kuifuta Chadema, lakini Mungu ndiyo amekuwa akikilinda chama hiki........
Sasa kwa kuwa ameona umekaribia mno uchaguzi mkuu na yeye anajua kuwa hakubaliki miongoni ya wananchi, ndiyo anaona atumie ubabe wake, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, aifute Chadema!
Hata hivyo lazima tumwonye, ikiwa anataka umwagikaji mkubwa wa damu nchi hii, athubutu kufanya hilo analoliitaka!
Wewe juha huna unalojua subiri utaona yajayoKawadanganye wanachadema wenzako wasiojitambua
Yamefanywa mangapi kinyume na taratibu awamu hii???......kama wanauliwa hadharani iweje hilo lishindikane kama limepangwa?Kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Hakuna la kushangaza na watu hawa waliopo kwenye madaraka wakati huu.Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Wafute tuone! Kama CCM wameshindwa kushindana na CHADEMA kwa hoja wasubiri ya Libya! Hawatabaki salama.Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?