CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

Sahihi.....

Mathalani anayoyaongea Lema mitandaoni......

Lema anatengeneza siasa za kuonewa huruma na kuchukiwa CCM na serikali yake kwa kuzusha,kubatilisha ukweli na kuongopa juu ya "KESI iliyoko mahakamani....."

Hakika CHADEMA na siasa za MATUKIO YA KUPANGA....
 
Kupotea Ben Saanane ni tukio la kutengeneza, kuokotwa maiti ufukweni Dar ni tukio la kutengeneza, kupotea kwa Azory ni tukio la kutengeneza. Shambulizi la Lissu miaka minne iliyopita ni la kutengeneza. Kukamatwa kila mara wanachama na Viongozi wa Chadema na kubambikiwa kesi FAKE ná kunyimwa dhamana yote ni matukio ya kutengeneza. Mpuuzi kweli wewe!!!
 
ule uchaguzi wa Mahera wa kura za mabegi ! lazima ung'olewe ubongo ili kuamini
Mabegi yale mliyoyatengeneza kupitia marafiki zenu wa nje ya nchi akina Mark Vog Johnsen ,Sirjyev Ailankapoum na wengineo?!!!

Ile MOVIE mliyoitengeneza hakika INASHANGAZA kwelikweli.....
 
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Hichilema wa Tanzania ni nani.

Tatizokubwa la vyama vya siasa Tanzania ni kukosa mikakati. Kuanzia miaka ya tisisni tumekuwa tunashangilia nchi nyingine wanapoondoa chama tawala na kujifariji kuwa na sisi zamu yetu inafuata lakini wapi.
(1) Chiluba alimshinda Kaunda tukasema hayo hayo kuwa na sisi twaja.
(2) Bakili Muluzi alimshinda Banda huko Malawi na sisi tukajipa moyo kuwa zamu yetu inafuata,
(3) Kenya waliiondoa KANU madarakani tukashangilia kuwa zamu yetu yaja.
(4) Huko Malawi na Zambia wameshabadilisha vyama mara nyingi tu na kila siku sisi tumekuwa tunajifariji kuwa zamu yetu yaja.

CHADEMA wanategemea kura za watu kuichukia CCM badala ya kutegemea kura za watu kuipenda CHADEMA. Ushindi wa namna hiyo ni mgumu sana

Tutasubiri sana
 
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
 
Kukwambia ukweli si kupanick zwazwa!!! upumbavu wako ni hasara kubwa kwa Taifa.
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
 
Mengine yaliyopikwa na Chadema haya hapa mpuuzi wewe!!!
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
 
Mengine yaliyopikwa na Chadema haya hapa mpuuzi wewe!!!
Acha ufala, JK mliyemdekea hayupo, JPM kawanyoosha miaka 5, kijiti kapokea Mother, anawanyoosha na ataendelea kuwanyoosha hadi 2030, 2030 anachukua Dr. Nchemba, hapo ndipo maji mtaita mma, Pumbaf
 
Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Tanzania imekuwa ni Taifa lenye Wapumbavu wengi labda kuliko Taifa lolote lile duniani. Eti dhalimu mwendazake KATUNYOOSHA!!! 🤣🤣🤣🤣 Utadhani kuanguka kwa uchumi, elimu, afya, ukosefu wa ajira, kushuka kwa heshima ya Tanzania Africa na duniani kote KUNAWAATHIRI Chadema tu kwa sababu ya ufinyu wa akili yako hujui Watanzania wote wanaathirika bila kujali kama wana vyama, ni Chadema au maccm.
Acha ufala, JK mliyemdekea hayupo, JPM kawanyoosha miaka 5, kijiti kapokea Mother, anawanyoosha na ataendelea kuwanyoosha hadi 2030, 2030 anachukua Dr. Nchemba, hapo ndipo maji mtaita mma, Pumbaf
 
In 30 years what have you changed!!..Au Una kula na kulala na kwenda kazini tu?!!
 
Acha ufala, JK mliyemdekea hayupo, JPM kawanyoosha miaka 5, kijiti kapokea Mother, anawanyoosha na ataendelea kuwanyoosha hadi 2030, 2030 anachukua Dr. Nchemba, hapo ndipo maji mtaita mma, Pumbaf
Kwani wananyoshwa chadema au watanzania?
 
Ingekua haiaminiki na watanzania mbona mnatumia Polisi sasa?
 
Na nyie mmemleta Hamza kuzima Tozo!!!
 
Hawapo serious, Hichilema ni mpinzani serious aliyesimamia anachokiamini kwa muda mrefu, he is a real deal! Kwa hapa TZ unaweza kumfananisha na Hayati Maalim pekee, siyo hawa vilaza akina Lema
Maalim nae alikua Mpinzani baada ya kukubali kushirikiana na wauaji
 
Hakika ujinga wa utoton waweza kumalizika lkn ujinga wa ukubwan lazma utakufa nao tu
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
 
Kwahiyo wewe Mbowe ni babaako
Kwa mwenye ufinyu wa akili tu. Ingekuwa Mbowe au lissu ni babaako au Kakaako usingeandika upuuzi kama huu. Wewe ndiyo wale wa mkuki ni mtamu kwa nguruwe.
 
Aibu wewe mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…