CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

Ndiyo sababu tunapigia kelele huu upuuzi na uhuni unaoendelea upigwe marufuku na hatua MUAFAKA za kuhakikisha tuna HAKI nchini, USAWA na UHURU wa kweli kwa raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari zichukuliwe haraka kwani HAKI HUINUA TAIFA na UDHALIMU NA DHULUMA HUANGAMIZA TAIFA. Mdharau mwiba mguu HUOTA TENDE.
Machafuko hayata muathiri mmoja, hata wewe unayeombea Taifa liingie kwenye machafuko hutakwepa athari za moja kwa moja au zisizo za moja kwa moja.
 
Ningewashangaa sana Chadema kama wangelikwenda huko wakati anayewaalika ndiye anamshikilia Mwenyekiti Mbowe!
Mbowe anashikiliwa kwa ugaidi kama ambavyo Sabaya anashikiliwa kwa ujambazi, yaani upange matukio ya kigaidi usikamatwe kisa wewe mpinzani?? And nyinyi si mlikuwa mnapiga kelele Magu anaingilia mihimili mingine, mnataka huyu naye aingilie mahakama ili wamwachie mtuhumiwa Mbowe?
 
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.

Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.

SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!

CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed

Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.

Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.

Kwamba?

"... ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio."

Kumbe mnajua hata wale covid-19 ni wanachama wenu?

Hiiiiii bagosha!
 
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.

Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.

SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!

CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed

Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.

Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.

Kuna watu wanapenda sana kuandika kwa kuzunguka zunguka bila sababu. Je uchaguzi uliosimamiwa na NEC mwaka jana ilikuwa na haki? Jibu ni hapana sasa unataka Chadema waende kuwapongeza NEC kwa lipi? Kwa kuibiwa kura?. Nata vyombo vya kimataifa vimesema uchaguzi haukuwa wa haki sasa unaongelea mikutano kwani kukutana ni kwa nini kama huna msimamo. Watu hawafanyi mikutano ya mapanisho kama hawana tofauti kati yao huu sio mkutano wa kupongezana
 
Mbowe anashikiliwa kwa ugaidi kama ambavyo Sabaya anashikiliwa kwa ujambazi, yaani upange matukio ya kigaidi usikamatwe kisa wewe mpinzani?? And nyinyi si mlikuwa mnapiga kelele Magu anaingilia mihimili mingine, mnataka huyu naye aingilie mahakama ili wamwachie mtuhumiwa Mbowe?

Jezi yako kwa ilivyochakaa inaonekana kuwa ya mchezaji wa kutamainiwa.

Vipi, haikupi taabu kujipatia uhalali wa kuishauri timu ile upinzani kweri kweri ili iweze kuwashinda?

Hujioni kuwa unakuwa kama mamba fulani aliye busy kumshauri mtu namna ya kuvuka mto salama ili kumuepuka mamba yeye?

Hiiiiii bagosha!
 
Kuna watu wanapenda sana kuandika kwa kuzunguka zunguka bila sababu. Je uchaguzi uliosimamiwa na NEC mwaka jana ilikuwa na haki? Jibu ni hapana sasa unataka Chadema waende kuwapongeza NEC kwa lipi? Kwa kuibiwa kura?. Nata vyombo vya kimataifa vimesema uchaguzi haukuwa wa haki sasa unaongelea mikutano kwani kukutana ni kwa nini kama huna msimamo. Watu hawafanyi mikutano ya mapanisho kama hawana tofauti kati yao huu sio mkutano wa kupongezana

Hayo ndiyo utayakuta wako busy kuishauri Chadema.

Hivi tangu lini mamba akamshauri binadamu ili aweze kuvuka mto salama?

Cc: Shujaa Mwendazake
 
Mkuu Mag3 ,
Please don't be trapped by dogma-which is living by the results of other people's thinking. There are so many Chadema followers whose minds do not belong to them. There are so many Chadema fans whose thoughts have been totally purchased by Chadema leaders. They have made Mbowe and Lissu kings of their thought. Kuna watu hivi sasa ndani ya Chadema hawalali na wamevurugwa kwa sababu tu Mbowe ameshtakiwa kwa ugaidi. Wako tayari kutokwa povu kutetea kuwa Mbowe si gaidi pamoja na ukweli kwamba hawajui ya sirini kwa Mbowe. When the offenses of people occupy your mind, your mind becomes the offenses of people instead of your own mind. Tunatamani akili yetu wote iwe huru. Najua wakati fulani tuna ushabiki wa vyama lakini tubaki na akili zetu. Follow your heart but please take your brain with you. Good weekend
 
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.

Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.

SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!

CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed

Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.

Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.

Popomalism
 
Unlawful offenses shall remain in your heads because Mbowe has done nothing but you are punishing him like he offended you anywhere else.Don't be stupid enough to be fooled by satanic thinkers,when you hate your fellow Tanzanian because of politics one day you will be punished in this earth and everlasting punishment you will receive in heaven.Your points is to mask our tongues and eyes,every thing is vivid even though you are not agreeing .
 
It is not my intention to mask your tongues and eyes. My urge is to see you Chadema followers getting emancipated from the dogma and start thinking freely. You should not have to rip yourself into pieces to keep Mbowe and other Chadema leaders whole. Please free your mind and the rest will follow. Again I must reiterate that I don't want to mask your eyes, but the eyes are useless when mind is blind.
 
Kwa hiyo unalazimisha chadema wakae pamoja na cuf au vile vyama pandikizi vinavyojiita ni vyama vya upinzani kumbe mlango wa nyuma ni ccm???Unaelewa maana ya upinzani wewe??Kama mtu umekubali kuwa mpinzani unatakiwa uwe na maono yako kufuatana na falsafa ya chama husika.

Ni wapi nimesema lazima wakae na CUF?

Hakuna jipya. Hata NCCR wamewahi kuwa chama kikuu cha upinzani. Nao waliota mapembe na kujiona wanajitosheleza; kilichobaki ni historia. Wakaja CUF; nao hivyo hivyo. CHADEMA anapita humo humo walimopita wenzake. CHADEMA sio special; the same fate is beckoning to her!
 
Cdm hawajioni bora, bali kila chama ni tofauti na chama kingine. Hata kutaka kuonana na rais cdm waliomba kivyao wala hawakuomba kwa niaba ya vyama vingine. Vyama vingine vikitaka vitaomba kwa muda wao. Kila mmoja ana matatizo yake na mitazamo yake.

Just in case you don’t remember, hata NCCR wamewahi kuwa chama kikuu cha upinzani. Enzi zao walijiona wanajitosheleza; kilichobaki ni historia. Wakaja CUF; nao hivyo hivyo. CHADEMA anapita humo humo walimopita wenzake. CHADEMA sio special; the same fate is beckoning to her!
 
Nyakati zimebadilika unapaswa ujue hilo. Naona unakuja na mifano outdated ili kubeba Utetezi wako. Amka boss kumekucha.
 
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.

Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.

SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!

CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed

Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.

Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.

Kukutana na Rais, pamoja na kwamba katokana na uchaguzi uliokithiri kwa wizi, ni uungwana, japo CHADEMA wanaweza pia kuachana na Samia kama atalazimisha kukutana na Baraza la Vyama vya siasa.
Kwa sasa CHADEMA mwendo mdundo, moto wa katiba mpya waliowasha, unashika kasi hadi TBC wameubeba. Mabalozi wa "mabeberu" nao wamewaelewa CHADEMA, ile kesi feki dhidi ya Mbowe sasa inakuwa mwiba. Ushahidi hawana, wanabaki kupiga danadana. Mabalozi wakihudhuria kesi, kinawauma. Wanadai mabalozi wafuatilie kwenye vyombo vya habari eti kisa kuna kovid. Mpyuuuu!! Watu wanajiharishia ovyo.
Kwa hiyo NEC ni taasisi iliyocheza faulo na hata Samia nwenyewe kakirickwamba waliiba uchaguzi kwa njia ya kuengua wagombea na zingine. CHADEMA wana haki ya kuwagomea. Samia halazimishwi kukutana na CHADEMA. CHADEMA wako bize and engaged.
 
Bwashee, hata huko kwa rais wameshaghairi asipokutana nao peke yao. Akiwaweka kwenye kundi la vyama vyote basi hawaendi!
Ujinga uliomo chadema sasa hivi hata kwa fimbo hatuwezi kuutoa.
Kwani kina Shibuda na Mrema nao wameomba kukutana na Rais Samia??

Ni kwanini Rais Samia alazimishe kukutana na hivyo vyama vinavyojiita vya upinzani wakati Katika hali halisi ni CCM-B??
 
Na ni vyema ukakumbuka hizo ndizo consequences za kupuuza haki na kuvunja sheria. Na ipo siku yawezekana mka pay the price! Kama mtaendelea kuyapuuza mambo ya msingi
Chadema iliyokuwa na uwezo wa kudictate terms and conditions sasa hivi haipo, I wish you guys would know that and change your tactics!
 
Back
Top Bottom