Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Umuhimu wa kushirikiana haujawahi na hautawahi kupitwa na wakati.
Kushirikiana ni jambo la hiari, tena ni pale mnapokuwa na misimamo sawa. Sio kushirikiana kama fashion.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umuhimu wa kushirikiana haujawahi na hautawahi kupitwa na wakati.
Kwani kina Shibuda na Mrema nao wameomba kukutana na Rais Samia??
Ni kwanini Rais Samia alazimishe kukutana na hivyo vyama vinavyojiita vya upinzani wakati Katika hali halisi ni CCM-B??
Kushirikiana ni jambo la hiari, tena ni pale mnapokuwa na misimamo sawa. Sio kushirikiana kama fashion.
The same mistakes as those made by NCCR Mageuzi and CUF, the same fate!
Unaamini ukiandika kwa kiingereza ndio itakuwa point?
Tulia tu mzee, hamna atakayedharau maoni yako, maana wazee wote ndio mawazo yenu.Andika hata Kimachame ukipenda!
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.
Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.
SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!
CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed
Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.
Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.
Ukiangalia threads na michango ya pro-CCM, kikubwa karibia kwa wote, unachokiona ni uthibitisho wa matokeo yale ya utafiti wa TWAWEZA kuwa CCM inaungwa mkono zaidi na watu wasio na akili.
KESHO ntaandika "Siyo Gaidi". Usijali, ili mridhikeTumia akili kjana hata kama unazo kidogo!
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.
Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.
SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!
CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed
Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.
Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.
Wapo wengi sanaKuna list ndefu humu ya Hawa Wajinga hawawezi kuelewa philosophy ya andiko lako.
Walikosa sera kama mlivyo kosa sera polisi ndio wanaowakilisha na kutekeleza sera zenu za chama cha majambazi.Ni wapi nimesema lazima wakae na CUF?
Hakuna jipya. Hata NCCR wamewahi kuwa chama kikuu cha upinzani. Nao waliota mapembe na kujiona wanajitosheleza; kilichobaki ni historia. Wakaja CUF; nao hivyo hivyo. CHADEMA anapita humo humo walimopita wenzake. CHADEMA sio special; the same fate is beckoning to her!
Walikosa sera kama mlivyo kosa sera polisi ndio wanaowakilisha na kutekeleza sera zenu za chama cha majambazi.
Kuleta hoja za kisiasa wakati wewe siyo member wa chama siasa basi wewi ni mchonganishi.Sio kila mtu unayekutana naye hapa ni member wa chama cha siasa!
Kuleta hoja za kisiasa wakati wewe siyo member wa chama siasa basi wewi ni mchonganishi.
Kuleta hoja za kisiasa wakati wewe siyo member wa chama siasa basi wewi ni mchonganishi.Sio kila mtu unayekutana naye hapa ni member wa chama cha siasa!
Kwa hiyo haya ambayo ccm na vibaraka wenzio wanawatendea CHADEMA unaona ni haki?Mimi ni Mtanzania na ni mpigakura. Kwahiyo, hoja za kisiasa ndani ya nchi yetu, bila kujali chama, zinanihusu!
Mwenye Busara anatembea na wenye Hekima, lakini Mpumbavu anazidi kwenda mbele na lazima aumie.Mnaopinga Mtokeo ya Tume unaushahidi gani huku ukikaa na kusema mwenyewe huko Pembeni umeonewa. Njoo Tume ya Uchaguzi kama Viongozi wa Dini na watu mbalimbali waliotembelea Tume na kupata Hekima na maarifa kuhusu kazi za Tume na jinsi inavyoendesha Uchaguzi.UPUUZI MTUPU!!! unakutana na NEC wakitangaza uhuni wao waliofanya 2020 ili iweje!? Ukasikilize wakizungumza kuhusu wizi wao kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki wakati ukweli tunaujua?
Hata kama utafungua ni wewe tuChadema ni kuku aliyekatwa kichwa nafunga mjadala.