WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kama ccm wanalijua hilo kwa nini wanatesa wenzao?Machafuko hayata muathiri mmoja, hata wewe unayeombea Taifa liingie kwenye machafuko hutakwepa athari za moja kwa moja au zisizo za moja kwa moja.
Machafuko hayata muathiri mmoja, hata wewe unayeombea Taifa liingie kwenye machafuko hutakwepa athari za moja kwa moja au zisizo za moja kwa moja.
Mbowe anashikiliwa kwa ugaidi kama ambavyo Sabaya anashikiliwa kwa ujambazi, yaani upange matukio ya kigaidi usikamatwe kisa wewe mpinzani?? And nyinyi si mlikuwa mnapiga kelele Magu anaingilia mihimili mingine, mnataka huyu naye aingilie mahakama ili wamwachie mtuhumiwa Mbowe?Ningewashangaa sana Chadema kama wangelikwenda huko wakati anayewaalika ndiye anamshikilia Mwenyekiti Mbowe!
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.
Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.
SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!
CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed
Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.
Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.

Mbowe anashikiliwa kwa ugaidi kama ambavyo Sabaya anashikiliwa kwa ujambazi, yaani upange matukio ya kigaidi usikamatwe kisa wewe mpinzani?? And nyinyi si mlikuwa mnapiga kelele Magu anaingilia mihimili mingine, mnataka huyu naye aingilie mahakama ili wamwachie mtuhumiwa Mbowe?
Kuna watu wanapenda sana kuandika kwa kuzunguka zunguka bila sababu. Je uchaguzi uliosimamiwa na NEC mwaka jana ilikuwa na haki? Jibu ni hapana sasa unataka Chadema waende kuwapongeza NEC kwa lipi? Kwa kuibiwa kura?. Nata vyombo vya kimataifa vimesema uchaguzi haukuwa wa haki sasa unaongelea mikutano kwani kukutana ni kwa nini kama huna msimamo. Watu hawafanyi mikutano ya mapanisho kama hawana tofauti kati yao huu sio mkutano wa kupongezana
Mkuu Mag3 ,Mitoto iliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge, reasoning sufuri. Haya mmeachiwa uwanja, itaneni mteme yote yaliyo moyoni...
Siku mtakaporudishiwa akili zenu, pokea tu bila kujali kama ni yako, kwanza hamzihitaji kabisaaaa! Orodha inazidi kuongezeka...
- Shujaa Mwendazake
- tutamkumbukamagu
- akilinene
- Bushesha jr
- JUMA JUMA
- Kamanda Asiyechoka
- Wakudadavuwa
- zandrano
- shamimuodd
- Redpanther
- GENTAMYCINE
- Jasusi Mbobezi
- Elitwege
- Idugunde
- Jumbe Brown
- johnthebaptist
- USSR
- Magonjwa Mtambuka
- Dr Akili
- Janjaweed
- mtanzania1989
- Phillipo Bukililo
- Mr Dudumizi
- digba sowey
- IDEGENDA
- Niza doyi
- Kivumishi Kielezi
- Gerald .M Magembe
- Jasusi Mbobezi
- Jay One
- Stuxnet
- Ezekiel Mbaga
- Latvia
- Iboya2021
- Ritz
- mama D
- Psalm 23
- Shambaboy jogoli
- Pulchra Animo
- BUSH BIN LADEN
- No signal
- Lord OSAGYEFO
- fisi 2
- Naipendatz
PopomalismIko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.
Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.
SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!
CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed
Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.
Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.
Unlawful offenses shall remain in your heads because Mbowe has done nothing but you are punishing him like he offended you anywhere else.Don't be stupid enough to be fooled by satanic thinkers,when you hate your fellow Tanzanian because of politics one day you will be punished in this earth and everlasting punishment you will receive in heaven.Your points is to mask our tongues and eyes,every thing is vivid even though you are not agreeing .Mkuu Mag3 ,
Please don't be trapped by dogma-which is living by the results of other people's thinking. There are so many Chadema followers whose minds do not belong to them. There are so many Chadema fans whose thoughts have been totally purchased by Chadema leaders. They have made Mbowe and Lissu kings of their thought. Kuna watu hivi sasa ndani ya Chadema hawalali na wamevurugwa kwa sababu tu Mbowe ameshtakiwa kwa ugaidi. Wako tayari kutokwa povu kutetea kuwa Mbowe si gaidi pamoja na ukweli kwamba hawajui ya sirini kwa Mbowe. When the offenses of people occupy your mind, your mind becomes the offenses of people instead of your own mind. Tunatamani akili yetu wote iwe huru. Najua wakati fulani tuna ushabiki wa vyama lakini tubaki na akili zetu. Follow your heart but please take your brain with you. Good weekend
It is not my intention to mask your tongues and eyes. My urge is to see you Chadema followers getting emancipated from the dogma and start thinking freely. You should not have to rip yourself into pieces to keep Mbowe and other Chadema leaders whole. Please free your mind and the rest will follow. Again I must reiterate that I don't want to mask your eyes, but the eyes are useless when mind is blind.Unlawful offenses shall remain in your heads because Mbowe has done nothing but you are punishing him like he offended you anywhere else.Don't be stupid enough to be fooled by satanic thinkers,when you hate your fellow Tanzanian because of politics one day you will be punished in this earth and everlasting punishment you will receive in heaven.Your points is to mask our tongues and eyes,every thing is vivid even though you are not agreeing .
Kwa hiyo unalazimisha chadema wakae pamoja na cuf au vile vyama pandikizi vinavyojiita ni vyama vya upinzani kumbe mlango wa nyuma ni ccm???Unaelewa maana ya upinzani wewe??Kama mtu umekubali kuwa mpinzani unatakiwa uwe na maono yako kufuatana na falsafa ya chama husika.
Cdm hawajioni bora, bali kila chama ni tofauti na chama kingine. Hata kutaka kuonana na rais cdm waliomba kivyao wala hawakuomba kwa niaba ya vyama vingine. Vyama vingine vikitaka vitaomba kwa muda wao. Kila mmoja ana matatizo yake na mitazamo yake.
Just in case you don’t remember, hata NCCR wamewahi kuwa chama kikuu cha upinzani. Enzi zao walijiona wanajitosheleza; kilichobaki ni historia. Wakaja CUF; nao hivyo hivyo. CHADEMA anapita humo humo walimopita wenzake. CHADEMA sio special; the same fate is beckoning to her!
Nyakati zimebadilika unapaswa ujue hilo. Naona unakuja na mifano outdated ili kubeba Utetezi wako. Amka boss kumekucha.
Yani hata kufanya solid speculation huwezi 😂😂Unawaita Chadema wajinga wakati wewe hata watu wawili tu imeshindwa kuwaongoza,sijui kama una familia,kama unayo basi hata familia yako tu imekushinda kuiorganize.
Kukutana na Rais, pamoja na kwamba katokana na uchaguzi uliokithiri kwa wizi, ni uungwana, japo CHADEMA wanaweza pia kuachana na Samia kama atalazimisha kukutana na Baraza la Vyama vya siasa.Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum na kugomea chaguzi za marudio.
Kwa uwazi kabisa mtazamo wa CDM ni kuwa chaguzi za S/M 2019 na MKUU 2020 zilikuwa ni batili na walioshinda hawawatambui. Ajabu ya CHADEMA ktk hili ni uleule undumilakuwili wa "Sizitaki mbichi hizi" kwani inaonekana wako tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya kufanya mjadala wa kisiasa sijui maridhiano ya kitaifa, they know much.
SWALI hapa wanataka kukutana na Rais aliyetokana na uchaguzi waliouita batili, What does that mean?. Maana yake hawatambui ushindi wa JPM/SSH mwaka 2020. Je wanataka kukutana na SAMIA yeye kama nani?. Kama ni Rais ameupata kutokana na uchaguzi upi?, je kama wanamambua hivyo kuna haja kutoutambua huo uchaguzi? It is just a logical fact!
CHADEMA katika kususia jambo bado wamefeli na wanafeli, mwaka 2015 walisusa na kutotambua Urais wa JPM na walifika mbali wakamuita Lowassa kuwa "Rais wa Mioyo ya Watanzania" (Sitaki kuongelea tena huu upuuzi wao maana huyu Rais amerudi kwao kumenoga). In the end bado walikuwa wanajipendekeza kutaka maridhiano mara kutaka kuonana na JPM ili kusikilizwa kilio chao wakati hawakumtambua kama Rais. Funny indeed
Kuna mawili ambayo CDM yanawashinda na wataendelea kuwa Ndumilakuwili mpaka kesho baada ya kuamua moja:-
1. Kama unasusa basi susa mazima ijulikane UMESUSA KIUME NA UNA MSIMAMO kisha dai tume huru KWA NGUVU ZOTE.
2.Show some respect kisha omba kukutana na RAIS ufikishe kilio chako awasikilize shida zenu.
Zaidi ya hapo ni Undumilakuwili na kuendelea kuonekana hawana msimamo . UNAMSUSIA KUKU WAKATI MAYAI YAKE YANAKUTOA MATE.
Kwani kina Shibuda na Mrema nao wameomba kukutana na Rais Samia??Bwashee, hata huko kwa rais wameshaghairi asipokutana nao peke yao. Akiwaweka kwenye kundi la vyama vyote basi hawaendi!
Ujinga uliomo chadema sasa hivi hata kwa fimbo hatuwezi kuutoa.
Chadema iliyokuwa na uwezo wa kudictate terms and conditions sasa hivi haipo, I wish you guys would know that and change your tactics!Na ni vyema ukakumbuka hizo ndizo consequences za kupuuza haki na kuvunja sheria. Na ipo siku yawezekana mka pay the price! Kama mtaendelea kuyapuuza mambo ya msingi