CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

Kwani kina Shibuda na Mrema nao wameomba kukutana na Rais Samia??

Ni kwanini Rais Samia alazimishe kukutana na hivyo vyama vinavyojiita vya upinzani wakati Katika hali halisi ni CCM-B??

Na tatizo la CDM linaanziaga hapa

Wao kujiona wako sawa, wengine wote ni Mamluki.

CDM wametumika kuibomoa CUF kupitia UKAWA na Ujio wa Lowassa, Dont they know
 
Kumbe. "You are also a stock to be laughed at".
 
Ukiangalia threads na michango ya pro-CCM, kikubwa karibia kwa wote, unachokiona ni uthibitisho wa matokeo yale ya utafiti wa TWAWEZA kuwa CCM inaungwa mkono zaidi na watu wasio na akili.
 
Ukiangalia threads na michango ya pro-CCM, kikubwa karibia kwa wote, unachokiona ni uthibitisho wa matokeo yale ya utafiti wa TWAWEZA kuwa CCM inaungwa mkono zaidi na watu wasio na akili.

Asiyekusapoti ni Pro-CCM ?
 
Samia kakataa kukutana na wapinzani. Nao wamekataa mwaliko wa chombo chake. Ngoma droo. Tatizo liko wapi?

Upande ambao "korodani" zao zikiuma baada ya kuminywa ndiyo watakuwa wa kwanza kulegeza msimamo wao. Watakaokuwa wa kwanza kulegea tunawajua kwani kuna kila dalili tayari wameanza kulegea!
 
Walikosa sera kama mlivyo kosa sera polisi ndio wanaowakilisha na kutekeleza sera zenu za chama cha majambazi.
 
Sio kila mtu unayekutana naye hapa ni member wa chama cha siasa!
Kuleta hoja za kisiasa wakati wewe siyo member wa chama siasa basi wewi ni mchonganishi.
Mimi ni Mtanzania na ni mpigakura. Kwahiyo, hoja za kisiasa ndani ya nchi yetu, bila kujali chama, zinanihusu!
Kwa hiyo haya ambayo ccm na vibaraka wenzio wanawatendea CHADEMA unaona ni haki?
 
UPUUZI MTUPU!!! unakutana na NEC wakitangaza uhuni wao waliofanya 2020 ili iweje!? Ukasikilize wakizungumza kuhusu wizi wao kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki wakati ukweli tunaujua?
Mwenye Busara anatembea na wenye Hekima, lakini Mpumbavu anazidi kwenda mbele na lazima aumie.Mnaopinga Mtokeo ya Tume unaushahidi gani huku ukikaa na kusema mwenyewe huko Pembeni umeonewa. Njoo Tume ya Uchaguzi kama Viongozi wa Dini na watu mbalimbali waliotembelea Tume na kupata Hekima na maarifa kuhusu kazi za Tume na jinsi inavyoendesha Uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…