Mimi sina chuki na huyo jembe wenu, kwana hanijui na mimi simjui na kubwa zaidi yeye ameshauliwa na Mungu. Mliitwa wanyonge mpaka anakufa bado mko wanyonge. Wenzenu alikuwa anapiga pesa nyie anawaita wanyonge mnakenua mpaka leoTanzania haijawahi kupata Rais tajiri wote wametajirikia madarakani. Chuki yako kwa Jembe JPM inakupofusha
Mimi nishaliwa kura yanguUnapenda kula pesa za kampeni sio?
Unakumbuka mwenyekiti wenu JK alikuambiaje? Ukitaka kula shurti uliwe kwanza! Mnatafunana sana huko hasa vijana wa uvccm mnaliwa sio mchezo!
Mimi sina chuki na huyo jembe wenu, kwana hanijui na mimi simjui na kubwa zaidi yeye ameshauliwa na Mungu. Mliitwa wanyonge mpaka anakufa bado mko wanyonge. Wenzenu alikuwa anapiga pesa nyie anawaita wanyonge mnakenua mpaka leo
Mkuu sasa mimi nilie kwa sababu gani? Sijawahi kuwa mnyonge kama wewe. Watu wa kulia ni nyie wanyonge ambao basha wenu kasepaPunguza mkulilia kila kona ya JF
Kweli hili taifa vilaza ni wengi sana..Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Mbona wanaowaibia watanzania hawaja faulu?Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Sio tu vilaza ni vilaza walio uza ubongo wao.Kweli hili taifa vilaza ni wengi sana..
Kwakweli mkuu...huu UCHAWA umekwisha liharibu hili taifa.Sio tu vilaza ni vilaza walio uza ubongo wao.
Mkuu sasa mimi nilie kwa sababu gani? Sijawahi kuwa mnyonge kama wewe. Watu wa kulia ni nyie wanyonge ambao basha wenu kasepa
Mkuu mimi silalamiki ila nasema matendo yake maovu. Hata wewe unayejiita mnyonge una haki ya kusema mazuri yake kama yapo. Mimi kama mimi naamini kuwa Jiwe alikuwa laana kwa Taifa lakini wewe unayejiita mnyonge unaweza pia kuona alikuwa shujaa wakoPole mkuu kila jina JPM likitajwa unalalamika sana
Mkuu mimi silalamiki ila nasema matendo yake maovu. Hata wewe unayejiita mnyonge una haki ya kusema mazuri yake kama yapo. Mimi kama mimi naamini kuwa Jiwe alikuwa laana kwa Taifa lakini wewe unayejiita mnyonge unaweza pia kuona alikuwa shujaa wako
Ccm ikiitwa Tanu ilituchangisha tukajenga viwanja vya mipira,ofisi, mashule vyote hivyo ni nguvu za wanachi lakini anayefaidika ni ccm labda ulikuwa hujazaliwa au ni mvivu wa kusoma historia ila mwepesi tu wa kukurupuka na matukio.Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Asante mkuu, lakini aliyefiwa na shujaa wake ni wewe. Mimi kwangu na watanzania wengi ukitoa nyie mnaojiita wanyonge ni furaha telePole mkuu
Wewe Malaya wa kisiasa una umia ukiwa wapi?Tutachanga sana tuChadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Walengwa ni wanachama wa CHADEMA, siyo Watanzania wote aise.watanzania wanyonge
Asante mkuu, lakini aliyefiwa na shujaa wake ni wewe. Mimi kwangu na watanzania wengi ukitoa nyie mnaojiita wanyonge ni furaha tele
Mkuu wanaotakiwa kuomboleza ni nyie mnaojiita wanyonge.Hadi wa leo bado tu unaomboleza
Myafika wapi? Mtachoka tuu.Hakuna "mnyonge " mwenye hela TUTACHANGA HATA MIA MIA
Mali Yao Wana Haki y kutumia wapendavyo bila kupangiwa.Bora hawa wanao kusanya kutoka kwa wananchi kwa kusema na kwa uwazi kuliko wale wa CCM walio jimilikisha mali za umma na wana jichotea kodi za walalahoi hazina na kwenda kununulia mabasi na kuhongana kukatiana viuno DODOMA.