CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

Mkishaongea na Waandishi wa Habari then what?

Kwa nini hamjifunzi mpaka leo..

Mnaongea weeeeee lakini tupo palepale
Tutawatoa hapo hata kinguvu , Wanyonge wakubwa nyie !!
 
Waje waseme ile namba ya simu ilipokea shilingi ngapi za michango ya waathirika wa Hanang? Maana naona kimya tu kama kawaida ya CHADEMA linapokuja suala la pesa ni lazima upigaji wa maana ufanyike kimya kimya
 
Mkishaongea na Waandishi wa Habari then what?

Kwa nini hamjifunzi mpaka leo..

Mnaongea weeeeee lakini tupo palepale
Unataka uende wapi wakati ccm unawaona wameatamia umaskini wa nchi.sio vizuri kuonyesha ujinga wako mitandaoni.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
zilipendwa chama chakavu mali ya mzee makengeza
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Waandishi wa nje umewatoa wapi kwenye uzi wako mtaalam? Mbona hilo tangazo lao sioni kauli ya wa ndani na nje?? Au umejiongeza kisa wamesema wote kukaribishwa??
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Daah, Huyu Mangi bado anaendeleza harakati tu duuh,

Ila CHADEMA ndio maana inafifia sana,
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Just a wastage of time and other resources.

French Intelligence Security Agency: The Gun-politics is the ONLY suitable and proper means of Politics in Sahel region and the rest of Africa.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Labda kinaungwa mkono na wananchi wote wa familia yako na ukoo wako
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Wanakwenda kuambiwa kuwa jua lilitoka saa saba usiku wasiojielewa watakubali
 
Attachments

  • 20231209_105026.jpg
    20231209_105026.jpg
    144.2 KB · Views: 1
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
To be honest huyu John Mrema amefeli kwenye kitengo hiki cha mawasiliano. Tukitaka mabadiliko ya kweli tunahitaji mtu serious mwenye experience ya mashirika ya habari ya kimataifa au PR consultant mwenye uzoefu.

Imagine Erythrocyte upo active kutoa habari kuliko hata official account ya CHADEMA humu JF!!
 
Ni kweli kabisa
 
yupo hapo kwasababu ya uhusiano wake na mwenyekiti ni mkubwa
 
Waje waseme ile namba ya simu ilipokea shilingi ngapi za michango ya waathirika wa Hanang? Maana naona kimya tu kama kawaida ya CHADEMA linapokuja suala la pesa ni lazima upigaji wa maana ufanyike kimya kimya
kama wewe unavyopokea miamala ya utakatishaji pesa kupitia namba yako unayoianika Jf kwa makusudi hayo.
 
Back
Top Bottom