CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

Eti chama kinachoungwa mkono kuliko vyote?. Hii ndio ule mkakati wa kusema uongo na kurudiarudia uongo huo huo hadi watu hasa wa nje wanaamini. Ukweli chadema ni chama waongo namba moja duniani.
Itisha uchaguzi wa haki; refa atoke nje kabisa ya nchi; uone....
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .

Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2844240
Ndugu Erythrocyte Update taarifa yako hii kwa kuwaambia watu Idara ya habari & Uenezi waa - upload ile barua aliyosomwa John Mrema wakati akiongea kwenye PC ili iende sambamba na taarifa hii...

CHADEMA inakuwaje siku hizi hamko aggressive & chap kama zamani? Yaani taarifa zenu zinakuwa nusunusu tu na kuacha maswali kibao. Why lakini..?

Hiyo ndiyo muhimu kuliko maelezo mengine yoyote na imebeba mambo muhimu yote ambayo mtu yeyote angependa kuyasikia..

Aidha, mimi naamini pia kuwa, kwa kuwa mmeisoma hadharani kwenye PC, basi siyo ishu ya siri tena bali ni taarifa kwa ajili ya public consumption hata kama ikiwekwa mtandaoni...

Hivyo ndivyo mambo yanavyotakiwa kwenda. Tunataka CHADEMA ya wakati wa ukatibu mkuu wa Dr Slaa na Afisa habari Tumaini Makene, CHADEMA iliyokuwa chap & aggressive irudi...
 
Back
Top Bottom