Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Tutawatoa hapo hata kinguvu , Wanyonge wakubwa nyie !!Mkishaongea na Waandishi wa Habari then what?
Kwa nini hamjifunzi mpaka leo..
Mnaongea weeeeee lakini tupo palepale
Unataka uende wapi wakati ccm unawaona wameatamia umaskini wa nchi.sio vizuri kuonyesha ujinga wako mitandaoni.Mkishaongea na Waandishi wa Habari then what?
Kwa nini hamjifunzi mpaka leo..
Mnaongea weeeeee lakini tupo palepale
zilipendwa chama chakavu mali ya mzee makengezaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
Waandishi wa nje umewatoa wapi kwenye uzi wako mtaalam? Mbona hilo tangazo lao sioni kauli ya wa ndani na nje?? Au umejiongeza kisa wamesema wote kukaribishwa??Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
Daah, Huyu Mangi bado anaendeleza harakati tu duuh,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
Just a wastage of time and other resources.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
Labda kinaungwa mkono na wananchi wote wa familia yako na ukoo wakoChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
Wanakwenda kuambiwa kuwa jua lilitoka saa saba usiku wasiojielewa watakubaliChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
hoja duni sanazilipendwa chama chakavu mali ya mzee makengeza
To be honest huyu John Mrema amefeli kwenye kitengo hiki cha mawasiliano. Tukitaka mabadiliko ya kweli tunahitaji mtu serious mwenye experience ya mashirika ya habari ya kimataifa au PR consultant mwenye uzoefu.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi .
Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje ya Jiji la D'Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa .
Taarifa yao hii hapa
View attachment 2844240
Ni kweli kabisaTo be honest huyu John Mrema amefeli kwenye kitengo hiki cha mawasiliano. Tukitaka mabadiliko ya kweli tunahitaji mtu serious mwenye experience ya mashirika ya habari ya kimataifa au PR consultant mwenye uzoefu.
Imagine Erythrocyte upo active kutoa habari kuliko hata official account ya CHADEMA humu JF!!
Kiufupi ni kuwa ndani ya CHADEMA kila mtu kajikatia tamaa na kukosa matumaini ya chochote kile.ndio maana mambo yanakwenda kama vipofu wa macho na akili.Ni kweli kabisa
yupo hapo kwasababu ya uhusiano wake na mwenyekiti ni mkubwaTo be honest huyu John Mrema amefeli kwenye kitengo hiki cha mawasiliano. Tukitaka mabadiliko ya kweli tunahitaji mtu serious mwenye experience ya mashirika ya habari ya kimataifa au PR consultant mwenye uzoefu.
Imagine Erythrocyte upo active kutoa habari kuliko hata official account ya CHADEMA humu JF!!
picha isiyoeditiwa kusapoti ujinga wakomsisahau kupitisha walau fagio maeneo kuzunguka ofisi., ni aibu hamjui tuh watu wanawachukulia vipi kushindwa kufanya usafi viunga vyenu
kama wewe unavyopokea miamala ya utakatishaji pesa kupitia namba yako unayoianika Jf kwa makusudi hayo.Waje waseme ile namba ya simu ilipokea shilingi ngapi za michango ya waathirika wa Hanang? Maana naona kimya tu kama kawaida ya CHADEMA linapokuja suala la pesa ni lazima upigaji wa maana ufanyike kimya kimya