CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

Hata mimi naunga mkono hii hatua
 
Zinaweza kuwa zimeisha kama kibinadamu kuna aliyekiri kwamba wakati fulani nchi iliongozwa na nyang'au na akaharibu mifumo yote. Na sasa tukae kama binadamu tukishirikiana kuwaondoa manyang'au wengine na vuvuzela kama Crimea

View attachment 2218761
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuonea huruma!

Vipi kwanza katuba mpya tayari?
 
Niliwahi kuuliza CHADEMA kwamba kama kutokaa Kwa Baraza ndio kumesababisha wabunge hao kuwepo bungeni Hadi sasa hawaoni kwamba wanashiriki kupoteza Kodi za wananchi Kwa sababu wanaendelea kulipwa? Kwann Baraza halikukaa mapema zaidi๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
 
Mmekua wapole,fujo,vurugu,mapinduzi ndio mliyokua mnayataka. JPM kiboko yenu. Mlizira mpaka katiba mpya ipatikane je imeshapatikana?
 
Hawa jamaa vigeugeu sana kwanza huwa wanapinga uwepo wa viti maalum lakini kutwa kulilia hizo nafasi zikiwa zinawapa ulaji
Kuna hatua gani ataufikia Mbowe usiunge mkono?

Hata mkiambiwa kamati imeridhia hao 19 wabaki bungeni mtaunga mkono
 
Hujui Mwenyekiti wa chama alikuwa kwenye matatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ